Wasanii wa Tanzania waliofanya vizuri 2017

Wasanii wa Tanzania waliofanya vizuri 2017

Hakuna alietoa ngoma kali kuliko seduce me kati ya hao uliowataja,Ila wewe unazingatia kigezo kimoja tu yaani Nyimbo kali...Angalia na upande wa pili ukiachana na nyimbo kali mkuu.Angalia kitu kama je fanbase ya alikiba imeongezeka au imepungua???Flow chart kati ya seduce me na maumivu per day ni ileile(ukubwa wa nyimbo),Je graph yake inapanda au inashuka nakadhalika!!!
Maumivu per day sio official kama mnavoichukulia ndo mana hata hajaipromote hata kidogo hata kwenye page yake ya insta haipo
 
ukiacha muziki wa kishabiki na ukauweka muziki wa kiki pembeni bhasi hizi pipo ndo ziliumiliki huu mwaka kwa mtazamo wangu

1. Aslay
2. Nandy
3. beka flavour
4. Ditto
5. Timbulo
6. lavalava
8.young killer
9.rosa lee
10. maua sama
11. rostam
12. barnaba
13.country boy
14. rich mavoko
Hatujaomba list ya fiesta samahani sana
 
Diamond

Ali kiba

Rich mavoko

Harmonize

Nandy

Rostam

Mauwa sama

Vanesa mdee

Asley

Beka freva

Lameck dito.-moyo sukuma damu

Bright

Chege

Gigy money-Papa

Jux

Lava lava

Lulu diva

Madee

Bill nas

Niki wa pili

Rosa ree

Chin bees

Country boy

Timbulo

Weusi

J Mo

Huyu Ditto huo wimbo wake ni wa mwaka jana 2016,
Timbolo na yeye kwa mwaka huu katoa wimbo gani??
Lulu diva!! hahaha u cant be serious au ni list ya Fiesta??

Zaiid mzee wa wowowo sijamuona hapo.... lol
 
Ngoja nikuongezee list
Hamorapa
Nandy
Nchama The best
Zaiid
Dogo Janja
Rostam
OMG
Jay Moe
 
Back
Top Bottom