LENGISHO
Senior Member
- Sep 15, 2017
- 169
- 265
hahahha tukutane central ukapimwe mkojo😉😉😉😉😉😉😉Sawa nilielewa sema nikaona nikuchokoze tu mkuu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahha tukutane central ukapimwe mkojo😉😉😉😉😉😉😉Sawa nilielewa sema nikaona nikuchokoze tu mkuu!!!
Maumivu per day sio official kama mnavoichukulia ndo mana hata hajaipromote hata kidogo hata kwenye page yake ya insta haipoHakuna alietoa ngoma kali kuliko seduce me kati ya hao uliowataja,Ila wewe unazingatia kigezo kimoja tu yaani Nyimbo kali...Angalia na upande wa pili ukiachana na nyimbo kali mkuu.Angalia kitu kama je fanbase ya alikiba imeongezeka au imepungua???Flow chart kati ya seduce me na maumivu per day ni ileile(ukubwa wa nyimbo),Je graph yake inapanda au inashuka nakadhalika!!!
Sawa mkuuMaumivu per day sio official kama mnavoichukulia ndo mana hata hajaipromote hata kidogo hata kwenye page yake ya insta haipo
Ukisema sio wanamuziki ntauliza kwani hawafanyi muziki??
hamna wa kunishawishiwasanii wa HIPHOP vipi?
Hatujaomba list ya fiesta samahani sanaukiacha muziki wa kishabiki na ukauweka muziki wa kiki pembeni bhasi hizi pipo ndo ziliumiliki huu mwaka kwa mtazamo wangu
1. Aslay
2. Nandy
3. beka flavour
4. Ditto
5. Timbulo
6. lavalava
8.young killer
9.rosa lee
10. maua sama
11. rostam
12. barnaba
13.country boy
14. rich mavoko
Babu seya????Namba moja diamond
namba 2 kiba
3 harmonize 4 Aslay
5 Babu Seya
Diamond
Ali kiba
Rich mavoko
Harmonize
Nandy
Rostam
Mauwa sama
Vanesa mdee
Asley
Beka freva
Lameck dito.-moyo sukuma damu
Bright
Chege
Gigy money-Papa
Jux
Lava lava
Lulu diva
Madee
Bill nas
Niki wa pili
Rosa ree
Chin bees
Country boy
Timbulo
Weusi
J Mo
Tunazungumzia mafanikio navoona Babu seya kutoka gerezani ni mafanikio makubwa sana kwa maisha yake maana target yake ilikuwa uhuru sasa amepata uhuru kafanikiwa sanaBabu seya????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatujaomba list ya fiesta samahani sana
nilikuwa hapa hapa Tz... Jkt sikwendaWe jamaa ulikuwa wapi au ulienda jkt nini