Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
- Thread starter
-
- #41
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote ila tukiangalia nyuma ya shilingi Diamond ndie kafanya vizuri zaidi mkuu!!!Usibishe mkuu Alikiba amefanya vizuri mwaka huu na kitendo cha kuwa msanii pekee kufanya show 2 za festival si ya kitoto otherwise usipokubali basi una ushabiki na diamond ndo maana unabishana na facts nlizokupa
Hahahahaha....Mkuu!!!dr shika 6
Kama unakubaliana na mimi niambie kwa hzo facts nlizokupa Aslay harmonize na Rayvanny wamemzidi kipi Alikiba mpaka hayupo kwenye list yako?Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote ila tukiangalia nyuma ya shilingi Diamond ndie kafanya vizuri zaidi mkuu!!!
Ali kafanya vizuri kwa nafasi yake mkuu...Nimeangalia vigezo vingi!!Ray & Harmo they were nothing lakini angalia level yao kwa sasa!!!Nominations kwenye tuzo kubwa kubwa na shows pia.Kama unakubaliana na mimi niambie kwa hzo facts nlizokupa Aslay harmonize na Rayvanny wamemzidi kipi Alikiba mpaka hayupo kwenye list yako?
Aslay? Kapata nominations? Alikiba kazidiwa wapi na rayvany na harmonize? Nani kati Kati ya hao katoa ngoma kali kuzidi seduce me?Ali kafanya vizuri kwa nafasi yake mkuu...Nimeangalia vigezo vingi!!Ray & Harmo they were nothing lakini angalia level yao kwa sasa!!!Nominations kwenye tuzo kubwa kubwa na shows pia.
Naona una like facts zangu tu mkuuAslay? Kapata nominations? Alikiba kazidiwa wapi na rayvany na harmonize? Nani kati Kati ya hao katoa ngoma kali kuzidi seduce me?
Hakuna alietoa ngoma kali kuliko seduce me kati ya hao uliowataja,Ila wewe unazingatia kigezo kimoja tu yaani Nyimbo kali...Angalia na upande wa pili ukiachana na nyimbo kali mkuu.Angalia kitu kama je fanbase ya alikiba imeongezeka au imepungua???Flow chart kati ya seduce me na maumivu per day ni ileile(ukubwa wa nyimbo),Je graph yake inapanda au inashuka nakadhalika!!!Aslay? Kapata nominations? Alikiba kazidiwa wapi na rayvany na harmonize? Nani kati Kati ya hao katoa ngoma kali kuzidi seduce me?
Haha napendezwa nazo,Kuna vingine unanifumbua kiukweli!!Naona una like facts zangu tu mkuu
Quite a great list mkuu ila Rayvanny kakosa humu naona kama list haijakamilika!!Diamond
Ali kiba
Rich mavoko
Harmonize
Nandy
Rostam
Mauwa sama
Vanesa mdee
Asley
Beka freva
Lameck dito.-moyo sukuma damu
Bright
Chege
Gigy money-Papa
Jux
Lava lava
Lulu diva
Madee
Bill nas
Niki wa pili
Rosa ree
Chin bees
Country boy
Timbulo
Weusi
J Mo
Mkuu sijamuweka kwa sababu..Quite a great list mkuu ila Rayvanny kakosa humu naona kama list haijakamilika!!
You said it all nilikua sijagundua hichi kitu....Mkuu sijamuweka kwa sababu..
Rayvanny msimu huu haja fanya vizuri sana kama msimu uliopita..
Nyimbo zake hazija fanya vizuri sana japo kuwa ni nzuri ila hazija hit..
Kwa mwaka 2017 pale WBC walio fanya vizuri Ni Hamonize na Richmavoko wametoa nyimbo mfululizo na zote zime hit...
Maumivu per day haikuwa nyimbo official ndo maana haikufuatiliwa licha imefikisha viewers milioni 1Hakuna alietoa ngoma kali kuliko seduce me kati ya hao uliowataja,Ila wewe unazingatia kigezo kimoja tu yaani Nyimbo kali...Angalia na upande wa pili ukiachana na nyimbo kali mkuu.Angalia kitu kama je fanbase ya alikiba imeongezeka au imepungua???Flow chart kati ya seduce me na maumivu per day ni ileile(ukubwa wa nyimbo),Je graph yake inapanda au inashuka nakadhalika!!!
Hehe mkuu nyimbo ni nyimbo....Anyways Alikiba yupo vizuri pia!!Maumivu per day haikuwa nyimbo official ndo maana haikufuatiliwa licha imefikisha viewers milioni 1
Aslye ndo nani mkuu??umewaachawapi wasanii kama hawa ?
1. Rostam
2. Roma
3.Dogo janja
4. KingKiba
5.Aslye
Acha ushabiki ndakindaki we chalii...
Hhahahah...dr shika
ni typing error mkuu nilikuwa namaanisha dogo AsleyAslye ndo nani mkuu??
Sawa nilielewa sema nikaona nikuchokoze tu mkuu!!!ni typing error mkuu nilikuwa namaanisha dogo Asley