Huu ni mwanzo tu tumeona huko Dodoma wasanii walikuwa kama sanamu vijana hawakuwaaikiliza wala kuwachukulia umuhimu.
Vijana wote walikuwa wanamwangalia Lissu na Heche. Vijana wameanza kujua hawa ni machawa na hawana faida kwao yeyeote zaidi ya kiki na nyimbo zao.
CCM watapoteza pesa bure vijana wanataka katiba, rushwa ipigwe kwa nguvu, ajira na uhuru sio mavazi na kiki