Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Baada ya kusema hivyo, jeneza la mama Sugu liligoma kunyanyuliwa?You people of today,ni nani kawaloga na vijimawazo vyenu hivyo?
 
Haya mambo yanaanza kdg kdg mara pap inalipula swala la ukanda mara udini mara ukabila tunaishia lwenye jinsi ndo tunaisha hivyo
 
Je, yeye Sugu anaonekana kwenye misiba ya wenzake?
 
Ukweli ni kwamba sugu ni mbunge wa mbeya mjini, na hakuna jimbo LA wasanii, pia km wao wasanii walipenda kutetea na sugu wasingeenda kuomba kura kwa mpinzani wa sugu au process J.
Hivyo sugu aliwaambia ukweli km wanahitaji utetezi wamuambie Mwakyembe ambae walimpigania na sasa HV ni waziri anaehusika na Sana'a..
Km hawakwenda kwenye msiba sioni tatizo inawezekana bado wana kisasi sababu ya kuambiwa ukweli na siku zote ukweli unauma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi kujiuliza maswali..kwa hulka ya binadam huwa tuna ile tabia ya kushirikiana na wale wanaotufariji kwenye misiba yetu pia.
Je Mh. Sugu huwa anahudhuria matukio ya misiba pale Leaders Club?
Je Mh. Sugu huwa anasomeka kwenye "daftari" la Steve Nyerere mzee wa rambi rambi?

Ukipata majibu ya haya maswali ndipo unaweza zielekeza lawama zako ipasavyo. Yaani wenzie wamemtenga wakati yeye hushirikiana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nakuona kama tope, tena bila samahani.

Watu hamweleweki mnataka nini, kukufananisha na mtu unayemtetea kila siku humu unakasirika mpaka umenifananisha na tope !!!
Anyway I didn’t mean any offense, kama hupendi kufanana naye siyo ishu.
 
Hao hao wasanii walipokacha msiba wa mama jaydee mbona haukuja kulalamika? Acha ubaguzi

Msiba ni wa sugu na ndugu zake,wao ndio wenye uchungu na mama yao. Na nio waliokua karibu nae wakati wa shida na raha.
 
Watu hamweleweki mnataka nini, kukufananisha na mtu unayemtetea kila siku humu unakasirika mpaka umenifananisha na tope !!!
Anyway I didn’t mean any offense, kama hupendi kufanana naye siyo ishu.
Get lost!
 
Kwani mngeenda mngemsaidia nini? Na hamkwenda kapungukiwa na nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alikuwa sasa sana kuwajibu hivyo.
imagine kutetea wasanii wanafiki na waoga kama wa tanzania.
 

Kwani ni uongo? Ndio, yeye ni mbunge wa wanambeya. Nyie wasanii kipindi cha campaign hamjaligi hali zenu mnajali mshiko wa campaign mnapita mkiipigia CCM campaign, halafu mnataka Sugu akawatetee mbele ya watu mliowachagua wenyewe kwa mapenzi yenu. Mfyuuu, tumieni akili.
 
Mjibee bee sasa mnalaumu nini sisi kutoonekana kwa Mr 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…