Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Sasa mnataka wasanii hao hao aliowakataa kuwatetea coz n ccm ndo leo waende msiban

Ukiamua kuwa kauz bas kuwa kauzu kwel yan.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa mwelevu wewe gamba, kwan umemsikia sugu au familia yake wamelalamika wasanii kutokwenda?. kwani wasanii wangekwenda wangebadili nini?, wasanii wa tanzania mnazidiwa akiri hata na bodaboda.
 
Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?

Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?

Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!

Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!

Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Wapo mahakamani kwaa kesi za kubambikiziwa.Wasanii waliopo ccm wana upeo mdogo wa kufikiria ndiyo maana wanatumika kila kukicha mwisho wa siku wanakuja kutuomba msaada wananchi.Si msaidi msanii yeyote anayejihusisha na chama kizee
 
Waende wasiende hawamuongezei kitu. Sugu kapata msiba mkubwa,msiba unauma. Maumivu anayo yeye na ndugu zake pekee
 
Kwani wasanii wa Bongo ndio nini?. Hao si ndio wanaolumbana na kutukanana kwenye misiba, ndio hao wanaogombea rambi rambi.Anglia walivyokuwa wanarushiana kashfa kwenye msiba wa Masogange.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo wasanii wenyewe wakina FA unafiki mtupu bora kutokua na marafiki kuliko kua na marafiki wanafiki bora Sugu alivyokua peke yake imetosha
 
Back
Top Bottom