Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Wasanii walimwambiaga mh mbona ututetei bungeni akawajibu Mimi siyo mbunge wa wasanii, miye ni mbunge wa wana mbeya akaongeza pia kuwa kipindi anaomba ubunge uko mbeya wasanii hawakwenda masapoti kwaiyo wamuache

My take

Msitusumbue wasanii sugu alishaga tukataa wenzake alisema yeye ni mbunge wa mbeya so ngoja afike mbeya wanainchi watajaa kwake kwa wing tu.
Alitamka hivi baada ya kushindwa kupata sapoti kutoka kwa wasanii wenzie kipindi cha kampeni,alafu hao hao wanaenda kufanya kampeni kwa chama cha kijani huku wakiwa wanataka sugu anawasemee matatizo yao bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo ndiyo hapo hoja yangu ilipolalia? Hoja yangu ni hii: kama mtu mmoja anaweza ku-control watu wengi namna hii kuwapangia waende kumpa pole nani anapougua au anapofiwa (kitu ambacho siyo kosa kwa namna yoyote ile) basi tatizo litakuwa kwa wale wanaokubali kupangiwa na siyo yule anayewapangia. Mnataka kuniambia watanzania kwa wingi wetu tumefika mahali tunatishwa na kiumbe mmoja kama nyumbu wanavyotishwa na simba?
usiku mwema!
 
Jamani hebu tuwaze kwa kutumia angalau nusu ya ubongo. Huyo mtu anayeogopewa hivyo ana nguvu gani? Wabunge wasipoenda kumsalimia mgonjwa wa upinzani analaumiwa fulani, wasanii wasipoenda kutoa rambi rambi kwa mwenzao analaumiwa fulani! Hivi hamwoni kama kuna mtu mmoja mwenye nguvu za kumiliki utashi wa watu wengi namna hiyo basi tatizo litakuwa kwa hao wanaokubali kulazimishwa kufanya mambo kinyume na utashi wao?

Mbona unajiuliza swali la kijinga na kipumbavu sana? Ina maana akili yako imeshindwa kupata jibu?
 
Mleta mada ni kiazi tena kiazi mbatata.

Huu ujinga wa kila kitu kumlaumu mzee, kuna siku mtagongewa wake zenu kisha mtalaumu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau.

Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja.

Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea itafika mahali mtu atakuta mtu ambae sio wa chama chake kapata ajali atashindwa kumsaidia

Yani sugu pamoja na heshima aliyonayo kwenye mziki wa bongo flavor leo kafiwa na mzazi mmeshindwa hata kwenda msibani

Asante suma G, Kala Jeremiah, papi choka na Nguza Viking kwa kushiriki ibada ya kumuombea mama yetu

Nasema kuna maisha baada ya unafiki.

mr mkiki

View attachment 849586

Sent using Jamii Forums mobile app
.
...mbowe alimzika mamake Zito !?

....ulipewa kitengo cha kuratibu wanao hudhuria maziko !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?

Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?

Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!

Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!

Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Nia yake atengeneze tu lawama ya kuwa kuna watu hawakwenda kisa kuna mtu anawatisha !unafiki tu umemjaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suma G, kala jeremiah, nguva vicking Papi kocha wameshiriki kwenye kuaga mwili wa Mama Jongwe, Ulihitaji wasanii wapi ndo ukubali kuwa wasanii wameshiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unajiuliza swali la kijinga na kipumbavu sana? Ina maana akili yako imeshindwa kupata jibu?
La kijinga na kipumbavu? Huoni kama kweli lipo kundi la watu ambao wanaogopa kumsabahi mgonjwa au kumpa pole aliyefiwa kwa sababu wanamwogopa mtu fulani basi kuna tatizo kubwa kabisa? i.e. hao wanaopangiwa watakuwa na matatizo?
 
Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?

Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?

Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!

Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!

Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Sifa ya "Sugu " kwenye Bongo Flava ni ya pekee, kwa msiba huo huwezi kulinganisha na mambo ya chama chake. Viongozi wa chama wako nchi nzima na wapo walioko nje ya Dar, na pengine wataenda Mbeya.
Wasanii wa bongo flava walipaswa kuonyesha mshikamano kama wana fani achilia mbali wanasiasa na siasa zao.
Lakini tunàshukuru kwa yote tuyaonayo maana ndiyo jamii tuliyojenga sasa na hata mbeleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nimshukuru sana Mungu kwa kuzuia wanafiki wenye akili za kichawi kutoka ccm kwenda kwenye msiba huu , hii ni baraka kwa mama yetu , Msiba ukihudhuriwa na wachawi roho ya marehemu huishia ardhini tu .

Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Hao waliohudhiria wameguswa kikweli kweli na huyo mama atazikwa. Hakuna haja ya kujaza wanafiki eti kuonyesha una watu wengi. Mimi kuliko kuzikwa na wanafiki 20,000 bora kuzikwa na watu 10 walioguswa sio wauza sura. Hao wasanii wasubiri wakajazane kwa watoa vyeo huko ndio sura zinalipa. Nina hakika Mbeya itazizima maana Sugu huko yuko kwenye damu zao.
 
Back
Top Bottom