ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
True!Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.