Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Kwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?

Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?

Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!

Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!

Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
True!
 
Rubbish! Kuna watu humu unawafikira (maana huwajui) kama reasonable people kumbe Mhhhh! Is it healthy Mkuu kutotuma rambirambi? Unalisemeaje hilo!
Jamani hebu tuwaze kwa kutumia angalau nusu ya ubongo. Huyo mtu anayeogopewa hivyo ana nguvu gani? Wabunge wasipoenda kumsalimia mgonjwa wa upinzani analaumiwa fulani, wasanii wasipoenda kutoa rambi rambi kwa mwenzao analaumiwa fulani! Hivi hamwoni kama kuna mtu mmoja mwenye nguvu za kumiliki utashi wa watu wengi namna hiyo basi tatizo litakuwa kwa hao wanaokubali kulazimishwa kufanya mambo kinyume na utashi wao?
 
Kuna mbunge wa CCM alikwenda kumwona Lisu? Kwanini polisi walikataza kumwombea, kuvaa T-shirts zake etc?
 
We umejuaje kuwa wameogopa? je msiba wa Sam wa ukweli walienda wasanii wote?Sugu alienda?
Kwani Sugu ana uspecial gani?
Mnalalamika hadi mnaboa
 
Wasanii walimwambiaga mh mbona ututetei bungeni akawajibu Mimi siyo mbunge wa wasanii, miye ni mbunge wa wana mbeya akaongeza pia kuwa kipindi anaomba ubunge uko mbeya wasanii hawakwenda masapoti kwaiyo wamuache

My take

Msitusumbue wasanii sugu alishaga tukataa wenzake alisema yeye ni mbunge wa mbeya so ngoja afike mbeya wanainchi watajaa kwake kwa wing tu.
Acha uongo kijana Sugu katetea sana mambo ya wasanii kipindi kile bunge liko live nimemwona marakadhaa akiongelea madhila ya kuzurumiwa wasanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mbunge wa CCM alikwenda kumwona Lisu? Kwanini polisi walikataza kumwombea, kuvaa T-shirts zake etc?
Siyo ndiyo hapo hoja yangu ilipolalia? Hoja yangu ni hii: kama mtu mmoja anaweza ku-control watu wengi namna hii kuwapangia waende kumpa pole nani anapougua au anapofiwa (kitu ambacho siyo kosa kwa namna yoyote ile) basi tatizo litakuwa kwa wale wanaokubali kupangiwa na siyo yule anayewapangia. Mnataka kuniambia watanzania kwa wingi wetu tumefika mahali tunatishwa na kiumbe mmoja kama nyumbu wanavyotishwa na simba?
 
Mleta mada , Jee umesahau alipougua NA baadaye kufariki Mama Yake Zitto aliyekuwa mbunge wa Chadema na Marehemu alikuwa mjumbe wa kamati kuu. Huo haukuwa unafiki ?
 
Back
Top Bottom