Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Alitamka hivi baada ya kushindwa kupata sapoti kutoka kwa wasanii wenzie kipindi cha kampeni,alafu hao hao wanaenda kufanya kampeni kwa chama cha kijani huku wakiwa wanataka sugu anawasemee matatizo yao bungeniWasanii walimwambiaga mh mbona ututetei bungeni akawajibu Mimi siyo mbunge wa wasanii, miye ni mbunge wa wana mbeya akaongeza pia kuwa kipindi anaomba ubunge uko mbeya wasanii hawakwenda masapoti kwaiyo wamuache
My take
Msitusumbue wasanii sugu alishaga tukataa wenzake alisema yeye ni mbunge wa mbeya so ngoja afike mbeya wanainchi watajaa kwake kwa wing tu.
Sent using Jamii Forums mobile app