mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
- Thread starter
- #81
Wew Jamaa mbona mjinga sana, mod mpingeni ban mjnga huyuInama nikusweke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew Jamaa mbona mjinga sana, mod mpingeni ban mjnga huyuInama nikusweke.
We jike utamsweka nan?Labda aliyekuzaa kwa bahat mbyInama nikusweke.
kuwa mwelevu wewe gamba, kwan umemsikia sugu au familia yake wamelalamika wasanii kutokwenda?. kwani wasanii wangekwenda wangebadili nini?, wasanii wa tanzania mnazidiwa akiri hata na bodaboda.Sasa mnataka wasanii hao hao aliowakataa kuwatetea coz n ccm ndo leo waende msiban
Ukiamua kuwa kauz bas kuwa kauzu kwel yan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Truekuwa mwelevu wewe gamba, kwan umemsikia sugu au familia yake wamelalamika wasanii kutokwenda?. kwani wasanii wangekwenda wangebadili nini?, wasanii wa tanzania mnazidiwa akiri hata na bodaboda.
Ubaguzi tyuHivi wanavyosema kuwa kwenye Jimbo la upinzani maendeleo hawapeleki wanakuwa wanamaana gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo mahakamani kwaa kesi za kubambikiziwa.Wasanii waliopo ccm wana upeo mdogo wa kufikiria ndiyo maana wanatumika kila kukicha mwisho wa siku wanakuja kutuomba msaada wananchi.Si msaidi msanii yeyote anayejihusisha na chama kizeeKwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.
Wewe lofa kaa kimya sasa, unachosha. Yaani wewe utukane watu wakunyamazie tu sio?
Jaribu kuinama basi.We jike utamsweka nan?Labda aliyekuzaa kwa bahat mby
Povu miiingiii kula limau jombaaa.....We umejuaje kuwa wameogopa? je msiba wa Sam wa ukweli walienda wasanii wote?Sugu alienda?
Kwani Sugu ana uspecial gani?
Mnalalamika hadi mnaboa
You are Foolish fool!!!Jaribu kuinama basi.
You are an asinine and cockamamy gnu.You are Foolish fool!!!
Sina urafik na hawa wanaoitwa wasanii (bongo fleva) ila naomba kuuliza Sugu huwa anajumuika na wenzake kikamilifu katika misiba n.k?Sio vizuri kwa kweli. Sugu kafiwa na mama mzazi, ni msiba mzito sana kwa mheshimiwa ila poa tu bongo fleva endeleeni na tabia hii ipo siku upepo utabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app