Wasanii wa Tanzania wanapaswa kujifunza kitu kwa Eric Omondi, sio lazima kujipendekeza kwa Serikali ili maisha yako yaende

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Your browser is not able to display this video.

Msanii wa Comedy kutoka Kenya, amekuwa akifanya vitu ambavyo kikawaida tumezoea kuona vikifanywa na wanasiasa kwa lengo la kutafuta huruma za wananchi waje kumpigia kura wakati wa uchaguzi. Ingawa pia, inaweza kuwa ni pia mipango ya Erico, you never know.

Lakini kitendo cha kufanya tu hivyo vitu ikiwemo kusaidia watu wenye shida mbalimbali kwa kuchangisha fedha au misaada. Pia amekuwa akikosoa waziwazi sera za Serikali yake hadi kuna kipindi alifungwa jela mwezi mmoja lakini akatoka baadaye mapema.

Sasa hivi kaanza kuwatafutia watu kazi ambapo leo amepokea maombi ya watu zaidi ya 12,300 wakihitaji connection zake.
 
Siku serikali anayoihusudu Eric Omondi ikijinyakulia hatamu za madaraka ndipo utaona makucha halisi ya kujipendekeza kwake.

Kama wasemavyo wengi, mtu akiwa nje ya mfumo ni mzuri kama malaika wa paradiso; ila sasa akiangukia kwenye mitego ya dola jahili anakuwa kama shwetani la kuzimu.
 
Safi huku kwetu wasanii wote ni ccm waandishi wa habari wote ccm mpaka mahakama ni ccm misikiti pia ni ccm ...
 
Wasanii wa tz wao utasikia
Tuchangieni,tuungeni mkono,
Wao ni kuanda show zao wakiwatwanga viingilio

Kwisha kazi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…