theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Wakiumwa wanahamia kwetuHivi wakiugua huwa wanachangishiana kama ambavyo wanafanya kwenye sherehe mbalimbali...
Wengi wana maisha ya chini sana ila wanaishi kwa kuigiza. Niliishaambiwa na mtu mmoja kua wengi ni wadangaji, wanapalipiwa kodi na madanga hizo mbwembwe zote wanazofanya wanafadhiliwa na madanga yao. kiuhalisia wana maisha magumu sana wengi hata nyumba za vyumba viwili hawana
NdungayembeMsaada, mkurembembe ni nini? Sijaelewa hapo.
InfiniteSasa hivi likes zinafika ngapi?naona haziishii kwenye 5
0 kabisaBongo movie ni bongolala
Hivi hawa wasanii huwa wanajitolea nini kwa Jamii?Wanaowachangia nao wanazo za kuchezea