Wasanii wa Tz Wanachezea sana pesa ila wakiumwa kidogo tu wanaomba tuwachangie wakatibiwe INDIA

Wasanii wa Tz Wanachezea sana pesa ila wakiumwa kidogo tu wanaomba tuwachangie wakatibiwe INDIA

Hivi wakiugua huwa wanachangishiana kama ambavyo wanafanya kwenye sherehe mbalimbali...
 
Wengi wana maisha ya chini sana ila wanaishi kwa kuigiza. Niliishaambiwa na mtu mmoja kua wengi ni wadangaji, wanapalipiwa kodi na madanga hizo mbwembwe zote wanazofanya wanafadhiliwa na madanga yao. kiuhalisia wana maisha magumu sana wengi hata nyumba za vyumba viwili hawana


Ndio wayakamate hayo madanga vizuri yawajengee walau chumba na sebule... waige mfano wa Masogange....

#Period
 
Juzi nimeona ile midola ya Diamond kwenda kwa Zamaradi, sema jamaa kajipanga sio rahisi kutuchangisha hela za kutibu tezidume
 
Hivi kumbe hua mnawachangia?? hahaha Moyo huo nimenyimwa aisee...
 
Back
Top Bottom