Ujinga mtupu.Inasakwa Kodi Kwa jasho na damu
Ila watanzania tumezidi ukondoo. Huu ni wizi wa mchana kweupe. Hii haina tofauti na serikali kutoza watu fedha kwa sababu wamekaa kijiweni wakipiga story na kuchekeshana.Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa.
Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji lakini walipuuza wito huo.
Bongo 5
View attachment 2827679
Tunapo Elekea Kama nchi Siko!!Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa.
Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji lakini walipuuza wito huo.
Bongo 5
View attachment 2827679
DRC kongo hiyoooo inakujaTanzania bwana, yaani kila mtu ni msanii mpaka na viongozi nao sasa wameacha kufanya kazi zao wamekuwa wachekeshaji huko Bungeni na mitaani.
Hiyo bodi ina njaa, ni kama wale mgambo wanaokimbizana na mamalishe, polisi wanaokimbizana na bodabodaWaigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa.
Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji lakini walipuuza wito huo.
Bongo 5
View attachment 2827679