technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kuna interview last week iliyoendeshwa na BBC UK kwa ajiri ya Kufanya promotion ya mziki wa kizazi kipya ....
Kwenye interview kulikuwa na wasanii kama
1: professor jay
2: Sugu
3: Vanessa
4 Dully
Interview ilikuwa kwa kizungu na aliyeanza kufanyiwa interview ni Professor Jay alijieleza vizuri sana nimshukuru kwa kuchambua kazi zake amabazo ameshazifanya uko nyuma kupitia mziki wake .
Sugu pia alijitaidi kuelezea mziki wetu ulipotoka na historia yake kiukweli nilimpenda sana ..
Vanessa huyu nafkiri ndiye msanii Mwenye elimu ya kiasi cha kutosha na pengine asumbuliwi kabisa na Lugha alijieleza vizuri na kiukweli namshukuru sana kwa kuitangaza nchi yetu.
Interview ilipofika kwa Dully kiukweli alitia aibu sana na wala sikutegemea msanini mkonge kama Dully alishindwa hata kusoma English course na kujua angalau maneno machache ya kufanya interview mpaka atafutiwe mkalimani ndiye amtafasilie anachokiongea!!
Lugha ni muhimu sana katika kuutangaza mziki wetu na kama anashindwa Lugha ni bora interview kubwa kama hizo usiombe kushiriki..
Inaonyesha wasanii wa hip hop wamejiandaa sana na wana uwezo mkubwa wa kujua lugha na kufanya interview bila woga .
Yaani msanii mbana pua mpaka anatetemeka wabana pua mnatuangisha sana.
Ilo ni angalizo kwa wasanii wengine wabana pua kama Alikiba ,Diamond,Na wengine mjifunze lugha angalau muweze kufanya interview na vyombo vya habari ya kimataifa .