Wasanii wabana pua mjifunze lugha

Wasanii wabana pua mjifunze lugha

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kuna interview last week iliyoendeshwa na BBC UK kwa ajiri ya Kufanya promotion ya mziki wa kizazi kipya ....

Kwenye interview kulikuwa na wasanii kama
1: professor jay
2: Sugu
3: Vanessa
4 Dully

Interview ilikuwa kwa kizungu na aliyeanza kufanyiwa interview ni Professor Jay alijieleza vizuri sana nimshukuru kwa kuchambua kazi zake amabazo ameshazifanya uko nyuma kupitia mziki wake .

Sugu pia alijitaidi kuelezea mziki wetu ulipotoka na historia yake kiukweli nilimpenda sana ..

Vanessa huyu nafkiri ndiye msanii Mwenye elimu ya kiasi cha kutosha na pengine asumbuliwi kabisa na Lugha alijieleza vizuri na kiukweli namshukuru sana kwa kuitangaza nchi yetu.

Interview ilipofika kwa Dully kiukweli alitia aibu sana na wala sikutegemea msanini mkonge kama Dully alishindwa hata kusoma English course na kujua angalau maneno machache ya kufanya interview mpaka atafutiwe mkalimani ndiye amtafasilie anachokiongea!!

Lugha ni muhimu sana katika kuutangaza mziki wetu na kama anashindwa Lugha ni bora interview kubwa kama hizo usiombe kushiriki..

Inaonyesha wasanii wa hip hop wamejiandaa sana na wana uwezo mkubwa wa kujua lugha na kufanya interview bila woga .

Yaani msanii mbana pua mpaka anatetemeka wabana pua mnatuangisha sana.

Ilo ni angalizo kwa wasanii wengine wabana pua kama Alikiba ,Diamond,Na wengine mjifunze lugha angalau muweze kufanya interview na vyombo vya habari ya kimataifa .
 
Mkuu Technically,
Unaweza kutupia link ya mazungumzo hayo ya BBC-UK na wasanii wa Tanzania tuwasikie "live"
 
vanesa sio kwamba kasoma mpaka kawa profesa wa english..
vanessa kakaa ulaya, kwahiyo english ni miongoni mwa lugha anazoongea. pamoja na frenc

kingereza ni lugha+ rafudhi
na sio kusoma sana..
mimi sijasoma ila nikikaa marekani miezi6 ntarudi kama mmarekani..
ila nilienda kufagia barabara tu, sio kusoma.
kingereza ni lugha kama kizaramo,kichaga kimakonde kirugulu,kisukuma nk.
 
Ni mzaramo gani umewahi msikia anaongea kiinglishi na wewe mleta mada wana maneni mengi ila yote ni ya kiswahili
Kwa mondi babu hapo nakukatalia sina uhakika kiba maana interview zake nyingi sijawahi zifuatilia
 
kuna uzi humu unaonyesha kiba akifanya interview huko south africa jana! itafute mkuu halafu rudi kurekebisha comment yako
 
Ni mzaramo gani umewahi msikia anaongea kiinglishi na wewe mleta mada wana maneni mengi ila yote ni ya kiswahili
Kwa mondi babu hapo nakukatalia sina uhakika kiba maana interview zake nyingi sijawahi zifuatilia

Hiki ulichoandika hebu tuwekee kwa english kwanza tushuhudie ajabu la nane la dunia hapa!..haya twende kazi...
 
Nimeona interview ya Stromae na imefanyika New York, karibu one hour kaulizwa maswali kwa kiingereza lakini yote kajibu kwa kifaransa. Stromae ni nembo kubwa kuliko mbongo fleva yoyote.

Ricky Martin wala haoni soni kuongea Español anapoulizwa maswali. Kuna wanamuziki kibao kuanzia Luz Casal, David Bisbal, Alejandro Sanz, Julio Iglesias, Paco de Lucia, Joaquin Sabina, Manu Chao, Christophe Mae, Julien Doré, Kendji Girac, Joyce Jonathan, Sheryfa Luna and list can go on and on, hao wote kiingereza ni chenga na wengine hawaongei hata sentensi moja lakini muziki wao unasikilizwa kuanzia Sweden Mpaka Argentina.

Sasa ukiniambia Dully Sykes katia aiubu kutumia mkalimani ntakushangaa.
 
Sorry mkuu, hivi unaishi hapa hapa tanzania?
 
Hao wasanii uliowataja simjui hata mmoja...nikadhani labda unaishi uspanyola huko

Man nimetoa mfano tu wanamuziki wanaofahamika Duniani lakini hawafanyi interview kwa Kiingereza. Stromae ni kutoka Belgium sio Spain.
 
Kuna interview last week iliyoendeshwa na BBC UK kwa ajiri ya Kufanya promotion ya mziki wa kizazi kipya ....

Kwenye interview kulikuwa na wasanii kama
1: professor jay
2: Sugu
3: Vanessa
4 Dully

Interview ilikuwa kwa kizungu na aliyeanza kufanyiwa interview ni Professor Jay alijieleza vizuri sana nimshukuru kwa kuchambua kazi zake amabazo ameshazifanya uko nyuma kupitia mziki wake .

Sugu pia alijitaidi kuelezea mziki wetu ulipotoka na historia yake kiukweli nilimpenda sana ..

Vanessa huyu nafkiri ndiye msanii Mwenye elimu ya kiasi cha kutosha na pengine asumbuliwi kabisa na Lugha alijieleza vizuri na kiukweli namshukuru sana kwa kuitangaza nchi yetu.

Interview ilipofika kwa Dully kiukweli alitia aibu sana na wala sikutegemea msanini mkonge kama Dully alishindwa hata kusoma English course na kujua angalau maneno machache ya kufanya interview mpaka atafutiwe mkalimani ndiye amtafasilie anachokiongea!!

Lugha ni muhimu sana katika kuutangaza mziki wetu na kama anashindwa Lugha ni bora interview kubwa kama hizo usiombe kushiriki..

Inaonyesha wasanii wa hip hop wamejiandaa sana na wana uwezo mkubwa wa kujua lugha na kufanya interview bila woga .

Yaani msanii mbana pua mpaka anatetemeka wabana pua mnatuangisha sana.

Ilo ni angalizo kwa wasanii wengine wabana pua kama Alikiba ,Diamond,Na wengine mjifunze lugha angalau muweze kufanya interview na vyombo vya habari ya kimataifa .
Diamond keshatoka kwenye hiyo ligi ya wabana pua siku nyiiingi! Mtoto Wema alifanya kazi nzuri sana.
 
Chris Brown amejifunza kiswahili?Wana HIP HOP wa "majuu" wanakijua kiswahili?? Cc@Technically
 
Back
Top Bottom