PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Oct 27, 2016 #22 Bailly5 said: Kuongea kiswahili ni kutia aibu au? Click to expand... Ndio hapo hata mi nashangaa, eti Dully Sykes anatia aibu kwasababu kaongea Kiswahili kwenye interview. Huu utumwa wa akili huu.
Bailly5 said: Kuongea kiswahili ni kutia aibu au? Click to expand... Ndio hapo hata mi nashangaa, eti Dully Sykes anatia aibu kwasababu kaongea Kiswahili kwenye interview. Huu utumwa wa akili huu.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,461 Reaction score 35,218 Oct 27, 2016 #23 PAGAN said: Ndio hapo hata mi nashangaa, eti Dully Sykes anatia aibu kwasababu kaongea Kiswahili kwenye interview. Huu utumwa wa akili huu. Click to expand... Kuna watu hawajielewi kabisa. Wapo wachezaji kibao ulaya huko na kiingereza hawajui. Wakihojiwa wanajibu kwa lugha zao
PAGAN said: Ndio hapo hata mi nashangaa, eti Dully Sykes anatia aibu kwasababu kaongea Kiswahili kwenye interview. Huu utumwa wa akili huu. Click to expand... Kuna watu hawajielewi kabisa. Wapo wachezaji kibao ulaya huko na kiingereza hawajui. Wakihojiwa wanajibu kwa lugha zao
MNYAMAKAZI JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,118 Reaction score 2,195 Oct 27, 2016 #24 Tunakosea sana kuihusisha lugha na mtu kuelimika.