Wasanii wabana pua mjifunze lugha

Wasanii wabana pua mjifunze lugha

Ndio hapo hata mi nashangaa, eti Dully Sykes anatia aibu kwasababu kaongea Kiswahili kwenye interview. Huu utumwa wa akili huu.
Kuna watu hawajielewi kabisa. Wapo wachezaji kibao ulaya huko na kiingereza hawajui. Wakihojiwa wanajibu kwa lugha zao
 
Back
Top Bottom