Wasanii wabongo na nyumba za kupanga

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
HIli suala limekuwa likiniumiza sana kichwa kama mdau wa burudan apa bongo,aswa hil suala la wasanii wetu kuendekeza sifa za kijinga huku wakiish nyumba za kupanga.ni juzi tu nimetoka kusikia eti jackline wolper na baby madaha wanagombania nyumba ya kupanga,what a shame?,binafsi sikumshangaa baby kuhus hil ila huy bi shost mwingine ambaye kabatizwa majina lukuki kutokan na kufuru zake za pesa anazozifany kila kukicha,kwel msanii unanunua/kuhongwa gari la mamilion ya shilingi kumbe hata kiwanja hauna?,aibu gani hii,aya umeenda kupanga nyumba mbezi beach ya gharama ya juu,ili tu umrushe roh wema sepetu,kwa maisha unayoish hat ile milion kum na tan uliotoa kwa sajuki kwangu mimi bure kabis kwa maisha unayoish ya kutanga tanga na kugombea nyumba za kupanga,si bora ungegombea kiwanja?,mweeh kwel ustaa bongo kazi,haya ukistaajabu ya wolper utayaona ya ommy dimpoz kuhama mikocheni had sinza huku akimilik gar leny thaman sio chin ya milion arobain,wasanii lazima mjitambue leo hii mpo on top kesho mkibuma mtakimbilia wap??,hii ni aibu sana kwa wasanii wetu,mnajifany filamu moja mnalipw milion kumi huk hata kiwanj hamna mnatak sifa kwa nani?
 
kuishi nyuma ya kupanga siyo kwamba ndo hawajajenge nyumba zao,
wapo wasanii ambao wamejenga nyumba nje kidogo ya jiji kitu ambacho
kwao hawakipendi kuishi pembezoni mwa mji; so wanaamua kupanga ili wawe
town na wapate urahisi wa kufanya kukurukakara zao huku town.
 
yaani msanii ajenge nyumba nje ya jiji then asipende kuishi kule ilhali aje kupanga mjini! huyo atakuwa mjinga, kama hapendi kuishi nje ya mji kwanini alijenga mbali? ova
 
he he he bongo mpango mzima gx100 au TI, jinsi kadhaa, viatu, bling bling feki, staili za nywele na bata za kila siku hao ndo wasanii.....
 
Dar es salaam viwanja maeneo ya mjini ni gharama sana ndio maana watu wengi wanajenga nje ya mji kwenye maeneo mapya kama chanika, mbweni, kigamboni etc.. Lakini kuhamia anaogopa hadi watu wajae jae maana ukiamia eneo upo peke yako au mpo wachache majambazi watawavamia bila kupata msaada
 
mmh yaani swala la kina wolper kupanga likuumize kichwa.........,
mkuu kama ni hivyo mbona utaumizwa kichwa chako na mengi sana
 
Wasanii wenyew wa bongo wanunue kiwanja usijue?,wakinunua galaxy tu utaona wanatundik mitandaon,wasanii wetu hawan privacy na maisha yao,labda kuroga na uzinz ndo wanawez ficha,sio kununua kiwanja na gar utajua tu
 
HEAVEN ON EARTH,sijamaanisha kama unavyofikiria ila nimeshangaa tu msanii kam yule anaendesha gar la milion mia mbil,anaish nyumb ya kupanga dola 1500,af hat kiwanja hana,nimechok zaid kusikia anagombania nyumba ya kupanga,wakat kutwa anagaw mahela kwa watu
 
Wakiporomoka kwenye chat wanakuwa mateja kisha maunga yanawauwa kutokana na stress za kutojipanga walipopata fursa!
Rip ngwair mpe hi john mjema
 
Hii kauli ya kuumia kichwa kwa maisha ya wengne wasiokua na tym na maisha yko ulikua anamaana gan mkuu.. Nauliza tu!
 
Wakiporomoka kwenye chat wanakuwa mateja kisha maunga yanawauwa kutokana na stress za kutojipanga walipopata fursa!
Rip ngwair mpe hi john mjema

True dude
 
Yaan msanii wa bongo ajenge nyumba usijue??,we mgeni sana na hawq wasanii polr
 
mkuu asante kwa ushauri wako watakua wamesikia.
 

umeongea point ndugu yangu. si kila aliepanga basi hajajenga au kumiliki Nyumba yake binafsi. wengine wamepangisha Nyumba zao bei kubwa na wao kwenda kupanga bei za kawaida wakiwa na malengo yao. kukaa nje ya mji na kwenyewe inategemea unafanya shughuli gani. Ila ni vzr pia kuwakumbusha hao wasanii na watz wote kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…