warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
HIli suala limekuwa likiniumiza sana kichwa kama mdau wa burudan apa bongo,aswa hil suala la wasanii wetu kuendekeza sifa za kijinga huku wakiish nyumba za kupanga.ni juzi tu nimetoka kusikia eti jackline wolper na baby madaha wanagombania nyumba ya kupanga,what a shame?,binafsi sikumshangaa baby kuhus hil ila huy bi shost mwingine ambaye kabatizwa majina lukuki kutokan na kufuru zake za pesa anazozifany kila kukicha,kwel msanii unanunua/kuhongwa gari la mamilion ya shilingi kumbe hata kiwanja hauna?,aibu gani hii,aya umeenda kupanga nyumba mbezi beach ya gharama ya juu,ili tu umrushe roh wema sepetu,kwa maisha unayoish hat ile milion kum na tan uliotoa kwa sajuki kwangu mimi bure kabis kwa maisha unayoish ya kutanga tanga na kugombea nyumba za kupanga,si bora ungegombea kiwanja?,mweeh kwel ustaa bongo kazi,haya ukistaajabu ya wolper utayaona ya ommy dimpoz kuhama mikocheni had sinza huku akimilik gar leny thaman sio chin ya milion arobain,wasanii lazima mjitambue leo hii mpo on top kesho mkibuma mtakimbilia wap??,hii ni aibu sana kwa wasanii wetu,mnajifany filamu moja mnalipw milion kumi huk hata kiwanj hamna mnatak sifa kwa nani?