baada ya langa kusanuka na kuamua kutemana na mambo ya madawa,ma heroin,cocaine na marijuana,leo katika pitapita yangu mitaa ya kinondon hospital nikamegewa pande kua vijana wa bongo fleva wanaongoza kwa kujidunga,eti kwa kisingizio cha kuwapa stim na kuweza kuandika mistari inayo bamba! Na hawa ni baadhi tu.NGWEA,MCHIZ MOX,TID,KABAISA AKA BLUE,DARK MASTER.LORD EYEZ,LADY JAYDEE,NURA,P.FUNKY,DAZBABA,AFANDE SELE,Na wengine kibao,mi nawashaur wamwige langa,ikiwezekana warud shule.jitazame
Hii imenichekesha sana, hadi kubwa lao linabwia...umemsahau captain john komba!
duuuh! Hadi msabato JAY DEE
Hii imenichekesha sana, hadi kubwa lao linabwia...
Mwili jumba namna ile stimu zitakaa wapi? Si atalzimika kubwia kilo nzima kama ni kweli.
Mbona umemsahau yule rapa omba omba wa twanga pepeta...
aka mwizi wa power windowQ Chilla....:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
umemsahau captain john komba!
umemsahau captain john komba!
Nami nashangaa,au kafunzwa Captain G.?duuuh! Hadi msabato JAY DEE
JD na Afande Sele ni wavuta benge :bange: hawali unga.
Mr. Blue ni gari la mizigo, anasafirisha unga kwenye mtandao wake wa bei cheee a.k.a tigo
Mungu atawasaidia wataacha.
umemsahau captain john komba!