Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,368
umemsahau captain john komba!
Hili gamba nalo linapiga hizi mambo? Ili apate stim za kulala bungeni au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemsahau captain john komba!
buji naona unakaribia kugonga ikulu!blue mjanja wake dogo hamidu ndo zile ngoma za dunk n die!ubaya wa mchezo ule lazma usniff kiaina ili ukate route za haja kubwa!na huyo dogo hamidu mjanja wake Dash! (jina la ukweli mabanoni) ila nae sasa hivi tengeru tee mzigo umekata!!!!......kuachana na stimu madogo wengi wa kino waliingia katika mchezo wa kula ngada kwa fikra za kudanganyana ukistua shughuli yake kitandani aibu!hufanyi makojozi mapema!
Ukosefu wa Elimu ni tatizo kubwa kwa hawa vijana. Umbumbu wa mji unawachanganya zaidi.
Hawa wabwia unga wanajilostisha sana blue alianza na bange akaona hazimp steam kaongeza dozi,20% kakutwa na kilo 20 za bange,daaaAaaaaaa Jide Mbona kitambo anastua si wanadanganya kwamba inawaondolea aibu kwa stage na inawapa manguvu ya kupiga show kwa stage
we habar zako za ubabaishaj 20% amedakwa na gm 20 sio kg 20 na izo gm 20 ni stick 2 tu ambazo ye mwenyewe anasema zilikua kwenye dash board na hajui ziliwekwa na nan coz kwenye gar hakua peke yake kulikua na wacheza shoo na wa2 wengine hapo ndan we unatangaza kilo 20 utazan we ndo ulomkamata na unakidhibiti.
buji naona unakaribia kugonga ikulu!blue mjanja wake dogo hamidu ndo zile ngoma za dunk n die!ubaya wa mchezo ule lazma usniff kiaina ili ukate route za haja kubwa!na huyo dogo hamidu mjanja wake Dash! (jina la ukweli mabanoni) ila nae sasa hivi tengeru tee mzigo umekata!!!!......kuachana na stimu madogo wengi wa kino waliingia katika mchezo wa kula ngada kwa fikra za kudanganyana ukistua shughuli yake kitandani aibu!hufanyi makojozi mapema!
Mwingine ana kesi huko Kilwa kwa kosa la kukutwa na gm.20 za hashish!
baada ya langa kusanuka na kuamua kutemana na mambo ya madawa,ma heroin,cocaine na marijuana,leo katika pitapita yangu mitaa ya kinondon hospital nikamegewa pande kua vijana wa bongo fleva wanaongoza kwa kujidunga,eti kwa kisingizio cha kuwapa stim na kuweza kuandika mistari inayo bamba! Na hawa ni baadhi tu.NGWEA,MCHIZ MOX,TID,KABAISA AKA BLUE,DARK MASTER.LORD EYEZ,LADY JAYDEE,NURA,P.FUNKY,DAZBABA,AFANDE SELE,Na wengine kibao,mi nawashaur wamwige langa,ikiwezekana warud shule.jitazame
We! Utatukanwa humu hadi ujute!naomba kuuliza japokuwa natoka nje ya maada
nasikia kuwa HALIMA MDEE nae anakula haya madude
Wengine kwa hayo majina hatuwajui, tubandikie picha zao, tuwaombee Mungu awaondoshee kama ni kweli.
Mkuu muuza sura kweli unawapata Dogo Amidu(Banyenda) ndo gari la powder ashaenda sana nje na kubebeshwa unga alivyorudi ndo kafungua duka la pamba studio 26