its good to try,isipobuma si unafanya mengine.lol….. the problem is not trying at all..ukute mtoa mada ushaanzisha biashara yako ikafa,leo unamcriticise mwenzio kwa kujaribu kufanya biashara nyingine (Music)..mnhh
Nabaki nagunaa gunaaa
Amber Rutty aendelee na kazi yakeKwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Hemed phd msanii mwenye a.k.a nyingi kuliko wote dukani teh teh...Kumbe unamuelewaHemed umemuonea ila hapo kwa Masanja nimecheka nimekumbuka na wimbo wa ' Niii'
Hah hah hah gafla nimem miss miss chagga yupo wapi?
Hemed phd..Msanii mwenye a.k.a nyingi kuliko wote duniani..Kumbe unamuelewaHemed umemuonea ila hapo kwa Masanja nimecheka nimekumbuka na wimbo wa ' Niii'
Hapana baby mimi nakuelewa wewe tuHemed phd msanii mwenye a.k.a nyingi kuliko wote dukani teh teh...Kumbe unamuelewa
Amber Rutty aendelee na kazi yake
Naylee..Moja ya wadada wenye vocal safi sana..kweli masikio tunatofautianaKwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Hapana baby mimi nakuelewa wewe tu
Teh teh..Hii ndo naisikia leoAdam Mchomvu dah, huyu jamaa tunaofahamu habari zake ni kwamba hata pale Clouds aliingizwa sababu ya uelewa wake kwenye miziki ya Lingala a.k.a Bolingo lakini maajabu yake ni kwamba baada ya kufika pale kabadilika na kujifanya mtu wa Hip Hop[emoji16]!! Hip Hop inamkataa lakini bado analazimisha!
Duuh mimi huyo?Mkuu hivi kule Badoo una share yoyote maana unatamkwa sana na Badoo?
hata mimi nime mmiss ila sio mimi,lol
Ahsante baby..Unanipa nguvu ya kwenda studio kurekodiHapana baby mimi nakuelewa wewe tu
I wish ningekuwa nazoKhantwe.....
eeeee kabisaaa