Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Daaah country boy ??????? Duuh mpaka mzeee was tokomeza zero piaaa hauko serious bro
Big Simba noma ,aghaaghaagagaga π€£π€£π€£π€£Baba Diamond vp
Ila ni kwel hao awajui kuimba but ni marapa wakali sana broBonta angefaa zaidi kama kama angekua mtunzi wa vitabu tu na country boy uwezo umeisha anaimba madudu saiv
Big NoOMMY DIMPOZ mzee wa wanjela ni wakati sasa wa kutundika daluga.Ameisha
[emoji16][emoji16][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama unapenda singeli huwezi kuelewa Rnb.
Kwakweli.Kama unapenda singeli huwezi kuelewa Rnb.
Hapo kwa HEMED tutabishana mpaka pakuche unless otherwise hufuatilii muziki wewe... unataka kuniambia Rudi ya Hemed, Imebaki story kwako ni sawa na madam hero ya Hamisa??
Ikusaidie nn?Una umri gani!??
Kazania masomo basi kwanza!!Ikusaidie nn?
Mbona yupo pouwa tu. Dudu la yuyu. Khe khe khe khe khe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Baba Diamond vp
Kwahyo unanilazimisha niamini unachotaka wewe, sio? Alafu usidhani kila unayemquote ni mdogo wako, hatujuani ndugu. Baki na unachokiamini wewe na sijakulazimisha ubebe yangu.Kazania masomo basi kwanza!!
Utauelewa mziki baadae.
Kwahyo unanilazimisha niamini unachotaka wewe, sio? Alafu usidhani kila unayemquote ni mdogo wako, hatujuani ndugu. Baki na unachokiamini wewe na sijakulazimisha ubebe yangu.
Chuki binafsiKwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Mzee Naseeb (Baba Mondi) hujamtaja, bila shaka unaridhika na uwezo wake!
Yule msenge baridi?Mwingine ni dogo anaitwa SAM MISAGO aache muziki afanye maisha esp utangazaji na kuwa bloger
Huyu nae ameshawai kuimba kwani.??
Yule msenge baridi?