'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

Bonta angefaa zaidi kama kama angekua mtunzi wa vitabu tu na country boy uwezo umeisha anaimba madudu saiv
Daaah country boy ??????? Duuh mpaka mzeee was tokomeza zero piaaa hauko serious bro
 
Hapo kwa HEMED tutabishana mpaka pakuche unless otherwise hufuatilii muziki wewe... unataka kuniambia Rudi ya Hemed, Imebaki story kwako ni sawa na madam hero ya Hamisa??
 
Una umri gani!??
Hapo kwa HEMED tutabishana mpaka pakuche unless otherwise hufuatilii muziki wewe... unataka kuniambia Rudi ya Hemed, Imebaki story kwako ni sawa na madam hero ya Hamisa??
 
Kazania masomo basi kwanza!!

Utauelewa mziki baadae.
Kwahyo unanilazimisha niamini unachotaka wewe, sio? Alafu usidhani kila unayemquote ni mdogo wako, hatujuani ndugu. Baki na unachokiamini wewe na sijakulazimisha ubebe yangu.
 
Kwahyo unanilazimisha niamini unachotaka wewe, sio? Alafu usidhani kila unayemquote ni mdogo wako, hatujuani ndugu. Baki na unachokiamini wewe na sijakulazimisha ubebe yangu.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Chuki binafsi
 
Mchomvu ni msanii mkali sana ila kinachofanya watu mumuone wa kawaida ni mnamsikia Jumatatu hadi Ijumaa kwenye xxl..kwahiyo sauti yake ishazoeleka.
 
Back
Top Bottom