bob junior
spack - mzee wa ombi langu
tunda man
Masanja Mkandamizaji
Nuh mziwanda
Shilole
Lady Jaydee
Mesen selekta
hawa watu hawaimbi ila wanalia, bob junior awe mtayarishaji pekee inatosha, spark awe mtunzi inatosha, tunda mani acha kabisa mziki haukuhusu unapoteza tu hela zako. tunda ni mwigizaji mzuri sema hajajijua tu. We masanja bora ubaki kua pastor. Nuh ajaribu fani ya kuchana ila kuimba hapana. Shilole sauti ni zero anabebwa na mabiti tu, bora aendeleze biashara yake ya pishi watu wameielewa ila sio kuimba. ukweli mchngu ila jide sauti nzuri ya kuimba hana!. we mesen sauti ya kuimba huna, ukijua kupiga biti haimaanishi kuwa ndo ujue na kuimba, watengenezee midundo raia ila sauti ya kuimba hapana.