Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Bonta? [emoji15] [emoji15] Acha kumdhalilisha BONTA.Kwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Kausha mkuu mwache abwabwaje.5: HEMED ni mwanamuziki mzuri sana labda hujui anachofanya ila kwenye Rnb anasimama vizuri sana.
And this is the reason i quit smoking weed.bob junior
spack - mzee wa ombi langu
tunda man
Masanja Mkandamizaji
Nuh mziwanda
Shilole
Lady Jaydee
Mesen selekta
hawa watu hawaimbi ila wanalia, bob junior awe mtayarishaji pekee inatosha, spark awe mtunzi inatosha, tunda mani acha kabisa mziki haukuhusu unapoteza tu hela zako. tunda ni mwigizaji mzuri sema hajajijua tu. We masanja bora ubaki kua pastor. Nuh ajaribu fani ya kuchana ila kuimba hapana. Shilole sauti ni zero anabebwa na mabiti tu, bora aendeleze biashara yake ya pishi watu wameielewa ila sio kuimba. ukweli mchngu ila jide sauti nzuri ya kuimba hana!. we mesen sauti ya kuimba huna, ukijua kupiga biti haimaanishi kuwa ndo ujue na kuimba, watengenezee midundo raia ila sauti ya kuimba hapana.
Hamna msanii hapoBonta? [emoji15] [emoji15] Acha kumdhalilisha BONTA.
Since day one ila dogo anauwezo wa kawaida sanaSijui kama unamjua country Boy "Ghadafi"
naikubali sana ile ngoma yake imebaki story na ile mkimbie. Kali sana hizo.. hemed yeye anasema anafanya mziki kujifurahisha tuu sio kazi!5: HEMED ni mwanamuziki mzuri sana labda hujui anachofanya ila kwenye Rnb anasimama vizuri sana.
mkuu country boy utakuwa una chuki naye aiseeKwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy Babuu wa kitaa
Matonya PNC Dogo janja Bob junior Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Sina noma nae broo uwezo wa kutunga umepungua amebakiza fujo tu kwenye beat na majina mengiii Mara gadafi[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu country boy utakuwa una chuki naye aisee
Katika hao wote anayejua kuimba ni namba 5...Hemed hao wengine bora waende kulima mihogoKuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.
3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana
4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.
5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.
6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha
Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu
Watoe Ney wa mitego, Best Nasso, Shilole na MatonyaKwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Kuna wimbo wake mmoja wa muda mtamu sana...inawezekana mleta mada hajasikiliza nyimbo zake5: HEMED ni mwanamuziki mzuri sana labda hujui anachofanya ila kwenye Rnb anasimama vizuri sana.
Niwaweke wapi mama?Watoe Ney wa mitego, Best Nasso, Shilole na Matonya
Kwabob junior
spack - mzee wa ombi langu
tunda man
Masanja Mkandamizaji
Nuh mziwanda
Shilole
Lady Jaydee
Mesen selekta
hawa watu hawaimbi ila wanalia, bob junior awe mtayarishaji pekee inatosha, spark awe mtunzi inatosha, tunda mani acha kabisa mziki haukuhusu unapoteza tu hela zako. tunda ni mwigizaji mzuri sema hajajijua tu. We masanja bora ubaki kua pastor. Nuh ajaribu fani ya kuchana ila kuimba hapana. Shilole sauti ni zero anabebwa na mabiti tu, bora aendeleze biashara yake ya pishi watu wameielewa ila sio kuimba. ukweli mchngu ila jide sauti nzuri ya kuimba hana!. we mesen sauti ya kuimba huna, ukijua kupiga biti haimaanishi kuwa ndo ujue na kuimba, watengenezee midundo raia ila sauti ya kuimba hapana.
Kwamba Ney wa Mitego hajui kuimba????? Hauko serious na maisha chalii anguKwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Wanajua bwana, wengine hao naweza kukuelewa ila sio Matonya. Utakuwa umezaliwa karibuni ila enzi zetu zile Matonya ndio alikuwa Dai wa sasaNiwaweke wapi mama?
Unaitwa NuhuHemed umemuonea ila hapo kwa Masanja nimecheka nimekumbuka na wimbo wa ' Niii'
Una uhakika?Unaitwa Nuhu