'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

Wanajua bwana, wengine hao naweza kukuelewa ila sio Matonya. Utakuwa umezaliwa karibuni ila enzi zetu zile Matonya ndio alikuwa Dai wa sasa
Haaa ni cjakataa uwezo wa matonya hapo zamani je kwa saivi anaimba nn bora aache tuuu
 
Baba Diamond [emoji23][emoji23]
 
Baba diamond mzee wa dudu la yoyo aendelee au aache
 

na diamond platsnum
 
Mkuu usisahau kumtoa sijui ndio mbasha yule,kuna makelele huwa anayapiga kuhusu magufuli sijui nini nini!
 
Dogo janja..
Aslay
Mboso
Mwana fa
Jux
Nedy music
Billnass
Baraka de Prince
Whozu
Masanja
Baba diamond
Hamisa
Na wengine wengi..ningekuwa DJ kwenye radio station nyimbo zao ningekuwa naziweka kwenye ndoo ya uchafu..

Nyimbo zao nyingi ni za kuanzia SAA 12 asubuhi hadi 12 jioni..zinakuwa zimeshaboaaa..nyimbo zao hazina uhai..hazivutiii..ubunifu zerooo...hazifai hata kucheza high club.
 
sawasawa judge mkuu. . .lakini kapovu ni kadogo sana, Sanasana watakupuuza tu
 
Hivyo unamaanisha kuwa DUDU BAYA anajua kuimba kuliko uliowataja?
 
Adam Mchomvu dah, huyu jamaa tunaofahamu habari zake ni kwamba hata pale Clouds aliingizwa sababu ya uelewa wake kwenye miziki ya Lingala a.k.a Bolingo lakini maajabu yake ni kwamba baada ya kufika pale kabadilika na kujifanya mtu wa Hip Hop😁!! Hip Hop inamkataa lakini bado analazimisha!
 
Mkuu ulimsahau na riyama ally hapo nae aludi tu bongo movie haeleweki kabisa au hua namsikiliza nina njaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…