'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

Best naso na dogo janja pamoja na mr nice nadhani umekurupuka.....
 
Kwenye list yako na wewe mtoe
Bonta
Dimpoz
Wa mitego
Best nasso
Country boy
 
Umesema jide hajui kuimba!
Uhalali wa post yako umeishia hapo.
Sikiliza wimbo unaitwa Faraja kwanza kisha rudi hapa.
 


Ungeongoza tu kwa kusema karibi 90% ya wasanii wa bongo fleva hawajuwi kuimba. Wako so pathetic, nashangaa kwanini BASATA hawawapigi ban hawa wasanii.
 
Lady jay dee???? Wewe utakuwa mchepuko wa gadna sio bure
 
5: HEMED ni mwanamuziki mzuri sana labda hujui anachofanya ila kwenye Rnb anasimama vizuri sana.
Naungana na wewe mkuu, tuache unafiki Hemed anaimba hata kwenye kumi bora ya wasanii wakali wa R&B Bongo anaweza kuingia. Hemed alianzia kwenye muziki huku kwenye Bongo movie alikuja baadae sana wakati ameshashiriki mpk yale mashindano ya Tusker Kenya na aling'ara haswa. Hemed anaujua mziki kuliko wasanii wengi sana wakubwa
 
Hemed yupo vizur sana kwenye kuimba ni mtunzi mzur wa mashairi kuzidi wasanii kibao tu wa bongo fleva tena wenye majina..labda useme saut, ila inshort yupo fresh jamaa , tena mi naona jamaa akiwekeza kwenye kuimba ndo atafanya poa kuliko huko kwa wauza sura alipo
 
kwani wewe ni nani kwenye sanaa ya tanzania hadi utake watu wapumzike kufanya kazi zao za sanaa
 
Country Boy mtu mbaya aka Wiz Khalifa wa Bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…