'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

Hemed??..inawezekana hujui muziki ni nini
 
Mesen selekta??...duuh
 
Kama unapenda singeli huwezi kuelewa Rnb.
SASA kama haya ndo majibu, HAKUNA ANAPIGA MUZIKI MBAYA, wote wanapatia... Wasiopenda Muziki husika ndo hawajui....

Ila kumbuka hatuzungumzii upenzi wa Muziki, bali uwezo wa kupiga au kuimba Muziki husika... Maana Kuna watu ha Diamond apige wimbo gani, wao kwao Diamond hajui... Na wengine hata Kiba apige wipo mzuri kiasi gani, kwao hajui .
 
Duuuh! We utakuwa una chuki binafsi na Jide kuna msanii wa kumfananisha na Jide kwa wanawake hapa bongo.
 
Kwa kuwa hamjanitaja ngoja nikomae na mziki
 
Hapo kwa Hemed umechemka
 
6 Maromboso
 
No 6 nakuunga mkono. Maaana amemfanya Mungi wa maigizo!!! Laaana hii
 
Mkuu wewe utakua unaumwa sio bure,,,
 
Reactions: B51
Nipo Ushirombo, wilayani Bukombe, mkoa wa Geita, kata ya Kashelo, tarafa ya Lyambamgongo, kijijini Katente....
Ebu njoo PM unifanyie wepesi...[emoji39][emoji39][emoji39]
Hivi we Mzee ni kweli huwa upo ushirombo au unajitypisha tu kutuchanganya!!
 
Nipo Ushirombo, wilayani Bukombe, mkoa wa Geita, kata ya Kashelo, tarafa ya Lyambamgongo, kijijini Katente....
Ebu njoo PM unifanyie wepesi...[emoji39][emoji39][emoji39]
Niko rubambangwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…