Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mesen selekta??...duuhbob junior
spack - mzee wa ombi langu
tunda man
Masanja Mkandamizaji
Nuh mziwanda
Shilole
Lady Jaydee
Mesen selekta
hawa watu hawaimbi ila wanalia, bob junior awe mtayarishaji pekee inatosha, spark awe mtunzi inatosha, tunda mani acha kabisa mziki haukuhusu unapoteza tu hela zako. tunda ni mwigizaji mzuri sema hajajijua tu. We masanja bora ubaki kua pastor. Nuh ajaribu fani ya kuchana ila kuimba hapana. Shilole sauti ni zero anabebwa na mabiti tu, bora aendeleze biashara yake ya pishi watu wameielewa ila sio kuimba. ukweli mchngu ila jide sauti nzuri ya kuimba hana!. we mesen sauti ya kuimba huna, ukijua kupiga biti haimaanishi kuwa ndo ujue na kuimba, watengenezee midundo raia ila sauti ya kuimba hapana.
Watoe Ney wa mitego, Best Nasso, Shilole na Matonya
SASA kama haya ndo majibu, HAKUNA ANAPIGA MUZIKI MBAYA, wote wanapatia... Wasiopenda Muziki husika ndo hawajui....Kama unapenda singeli huwezi kuelewa Rnb.
Jamaa ana chekesha jide hajui akapimweUmesema jide hajui kuimba!
Uhalali wa post yako umeishia hapo.
Sikiliza wimbo unaitwa Faraja kwanza kisha rudi hapa.
Duuuh! We utakuwa una chuki binafsi na Jide kuna msanii wa kumfananisha na Jide kwa wanawake hapa bongo.bob junior
spack - mzee wa ombi langu
tunda man
Masanja Mkandamizaji
Nuh mziwanda
Shilole
Lady Jaydee
Mesen selekta
hawa watu hawaimbi ila wanalia, bob junior awe mtayarishaji pekee inatosha, spark awe mtunzi inatosha, tunda mani acha kabisa mziki haukuhusu unapoteza tu hela zako. tunda ni mwigizaji mzuri sema hajajijua tu. We masanja bora ubaki kua pastor. Nuh ajaribu fani ya kuchana ila kuimba hapana. Shilole sauti ni zero anabebwa na mabiti tu, bora aendeleze biashara yake ya pishi watu wameielewa ila sio kuimba. ukweli mchngu ila jide sauti nzuri ya kuimba hana!. we mesen sauti ya kuimba huna, ukijua kupiga biti haimaanishi kuwa ndo ujue na kuimba, watengenezee midundo raia ila sauti ya kuimba hapana.
Inawezekana hata P Funk hajui Muziki?maana kuna interview naye alisema Hemedi hajui kuimba yupo flatHemed??..inawezekana hujui muziki ni nini
Mzee baba kitu Alcohol cha mzee Hemed huwa nakielewa sanaKuna wimbo wake mmoja wa muda mtamu sana...inawezekana mleta mada hajasikiliza nyimbo zake
Hapo kwa Hemed umechemkaKuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.
3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana
4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.
5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.
6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha
Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu
6 MarombosoKuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.
3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana
4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.
5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.
6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha
Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu
No 6 nakuunga mkono. Maaana amemfanya Mungi wa maigizo!!! Laaana hiiKuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.
3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana
4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.
5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.
6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha
Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu
Mkuu wewe utakua unaumwa sio bure,,,Kwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Hivi we Mzee ni kweli huwa upo ushirombo au unajitypisha tu kutuchanganya!!
Niko rubambangweNipo Ushirombo, wilayani Bukombe, mkoa wa Geita, kata ya Kashelo, tarafa ya Lyambamgongo, kijijini Katente....
Ebu njoo PM unifanyie wepesi...[emoji39][emoji39][emoji39]
Huu uzi watu hawajui kati ya wasanii na wasanii wazuri afu wengi wanapenda singeliBonta? [emoji15] [emoji15] Acha kumdhalilisha BONTA.
Niko rubambangwe