'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine


Hapo kwa masanja na hamisa nakupa asilimia 500, masanja sijui anaimba utumbo gani.
Hao wengine sijui.
 
Mzee baba hapa watoe
Bonta na Ney wa Mitego.
 
Mnataka watu tujiajiri halafu mnatushauri tuache muziki,mnataka tuwe vibaka jamani?....Ila nashukuru jina langu halimo acha niendelee kupiga kazi
 
Ali kiba akacheze mpira tu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wala mimi sikufanya loloteee...! Maradhi ya moyo siku zoote...! Hivi unamjua PhD vizuri kweli
 
Sidhani mtu kama Adam Mchomvu anafanya mziki ili auze,naona anafanya kwa starehe zake
 
Mtu kama Mansuli sidhani anaimba kwa ajili ya hela labda kujifurahisha na kutafuta jina u
 
Wote uliowataja wao wenyewe hawafanyi mziki siriasi. Sio kila jambo mnapenda kulichukulia sirias.
 
Kuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.

1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
Mimi huyu Mchomvu, hata huo utangazaji, kwa sauti hiyoo.....mmmmmmmm!
 
Ndio maana kakwambia kama naww unaona kunawengine wanavamia fani za watu lete list
Mbona hujawataja Joti, Mpoki, Bambo n.k! Kuna wakati huwa wanaimba! Au wao wanapatia? Zamani mdada Fina Mango aliimba ila sijui ikawaje akaachana kabisa na kuimba!
 
Baba Diamond aka agah...dudu la yuyu agah....agah... iam office

Achana na mziki tulia home lea waijukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…