Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Fanya kujisogeza mitaa hii bhanaUkitoka huko ebu pitia hapa tafadhali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya kujisogeza mitaa hii bhanaUkitoka huko ebu pitia hapa tafadhali...
Sawa mkuu, naona leo Mungu amekua upande wangu, maana sio kwa kunikumbuka huku....[emoji39][emoji39][emoji39]Fanya kujisogeza mitaa hii bhana
Ambayo haijachinjwa sio nyama!! Usishangilie kupitilizaSawa mkuu, naona leo Mungu amekua upande wangu, maana sio kwa kunikumbuka huku....[emoji39][emoji39][emoji39]
Kuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.
3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana
4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.
5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.
6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha
Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu
Mzee baba hapa watoeKwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Yeah Hemed anaimba vizuri sana5: HEMED ni mwanamuziki mzuri sana labda hujui anachofanya ila kwenye Rnb anasimama vizuri sana.
Nafkiri yeye ndo hajui mziki...Jamaa ana chekesha jide hajui akapimwe
Mimi huyu Mchomvu, hata huo utangazaji, kwa sauti hiyoo.....mmmmmmmm!Kuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
Mbona hujawataja Joti, Mpoki, Bambo n.k! Kuna wakati huwa wanaimba! Au wao wanapatia? Zamani mdada Fina Mango aliimba ila sijui ikawaje akaachana kabisa na kuimba!