maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
we jamaa unajua mzikiNiki wa II
FREEMAN AIKAEL MBOWE=AACHANE NA SIASA ARUDI KWENYE U DJKuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.
3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana
4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.
5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.
6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha
Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu
Hhahhaha Daaah Kwelii Ni NIIIHahaha unauliza tena wakati mwenyewe kasema kabisa hii ni nyimbo ya dini
Kwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Mtoa mada kakurupuka hata kama hampendi Jide, ila anajua aisee mi kuna nyimbo zake nazisikiliza mpaka Leo.Umesema jide hajui kuimba!
Uhalali wa post yako umeishia hapo.
Sikiliza wimbo unaitwa Faraja kwanza kisha rudi hapa.
HahahaaKuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.
1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.
2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.
3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana
4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.
5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.
6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha
Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu
HahahahaHamna msanii hapo
Hahahaha dah ila watu mna manenoSina noma nae broo uwezo wa kutunga umepungua amebakiza fujo tu kwenye beat na majina mengiii Mara gadafi[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh, hahahaAdam Mchomvu dah, huyu jamaa tunaofahamu habari zake ni kwamba hata pale Clouds aliingizwa sababu ya uelewa wake kwenye miziki ya Lingala a.k.a Bolingo lakini maajabu yake ni kwamba baada ya kufika pale kabadilika na kujifanya mtu wa Hip Hop[emoji16]!! Hip Hop inamkataa lakini bado analazimisha!
Mkuu Matonya uliyemtaja ni yule wa Tanga au wa Dodoma? Kama ni yule wa Tanga aliyeimba Vailet basi mtakae radhi. Kama mbishi kasikilize tena hizi ngoma;
1.Dunia mapito
2.Vaileti
3.Mrembo
4.Anita
5.Siamini
6.Tax bubu
Msanii gani hajui kwenda na beat[emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha
Kweli brooHahahaha dah ila watu mna maneno
Kwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Sijui kama unamjua country Boy "Ghadafi"