'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

Kuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.

1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.

2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.

3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana

4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.

5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.

6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha

Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu
FREEMAN AIKAEL MBOWE=AACHANE NA SIASA ARUDI KWENYE U DJ
 
Yaani mtu alikwenda kuiwakilisha nchi kwenye Tusker Project Fame halafu unasema hajui kuimba?
 
Mkuu Matonya uliyemtaja ni yule wa Tanga au wa Dodoma? Kama ni yule wa Tanga aliyeimba Vailet basi mtakae radhi. Kama mbishi kasikilize tena hizi ngoma;
1.Dunia mapito
2.Vaileti
3.Mrembo
4.Anita
5.Siamini
6.Tax bubu
Kwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
 
Umesema jide hajui kuimba!
Uhalali wa post yako umeishia hapo.
Sikiliza wimbo unaitwa Faraja kwanza kisha rudi hapa.
Mtoa mada kakurupuka hata kama hampendi Jide, ila anajua aisee mi kuna nyimbo zake nazisikiliza mpaka Leo.
 
Babaake Dismond..
Kuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.

1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.

2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.

3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana

4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.

5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.

6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha

Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu
Hahahaa
 
Hebu skiliza kwanza dude jipya La Mchomvu linaitwa Reality and Uniqueness Gifted Entertainment(RUGE) au ile inaitwa Adam.
 
Adam Mchomvu dah, huyu jamaa tunaofahamu habari zake ni kwamba hata pale Clouds aliingizwa sababu ya uelewa wake kwenye miziki ya Lingala a.k.a Bolingo lakini maajabu yake ni kwamba baada ya kufika pale kabadilika na kujifanya mtu wa Hip Hop[emoji16]!! Hip Hop inamkataa lakini bado analazimisha!
Duh, hahaha
 
Mungu wangu eeh yani hadi muimba injili masanja unasema hajui hakika wewe unafuata tu radha ya muziki sio ujumbe...kifupi naweza tu sema wewe nawe ujui muziki...alaf fanya utani wako wote ila si kwenye injili... imeandikwa dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu haitosameheka
 
Hizo kazitoa lini? Sisi tunazungumzia sasa hivi broo
Mkuu Matonya uliyemtaja ni yule wa Tanga au wa Dodoma? Kama ni yule wa Tanga aliyeimba Vailet basi mtakae radhi. Kama mbishi kasikilize tena hizi ngoma;
1.Dunia mapito
2.Vaileti
3.Mrembo
4.Anita
5.Siamini
6.Tax bubu
 
BONTA NA WAKAZI??

Aisee watotoo wa Mwinyi na Mkapa mnaaaa......

Kwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
 
its good to try,isipobuma si unafanya mengine.lol….. the problem is not trying at all..ukute mtoa mada ushaanzisha biashara yako ikafa,leo unamcriticise mwenzio kwa kujaribu kufanya biashara nyingine (Music)..mnhh
 
Back
Top Bottom