'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

Kuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu.

1. Adam Mchomvu... Bro rudi kwenye kazi yako ya utangazaji mziki hujui.

2. Hamisa Mobeto... Rudi kudanga yaani mziki hujui hata kidogo.

3. Ben Kinyaiya... Endelea kutangaza lkn Mziki hapana

4. Rommy Johns (sina hakika na jina kama nimelipatia) lakini namaanisha yule sijui meneja au ni producer wa WASAFI... kaka achana kabisa na muziki haujui kuimba.

5. Hemed PhD .. Bro kitu pekee unachoweza ni kuigiza lkn muziki Hapana.

6. Massanja mkandamizaji. .. Unaharibu na kuuabisha muziki wa injili na kufanya uonekane cheap. Acha hyo kazi endelea kuchekesha

Naomba kuwasilisha na wewe kama kuna mtu unayemnua amevamia fani mtaje hapa ili ujumbe uwafikie wanavamia fani za watu

Kwaiyo hemed phd na baba diamond kwel hapo umepuyanga kwenye list yako
 
Mbona Lulu hayupo kwenye list?
 
Na Ebitoke je ...
Au umemkubali ile kukaa uchi?
 
Hemed PhD Anajua sana kuimba wewe utakuwa mtu wa nyegezi huwezi muelewa PhD
 
Kwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Bob Junior na dogo nay wanajua kweli hemedi hajui
 
Hamisa aige mfano wa zari ...aliingia kwenye industry ya muziki ......akajionea Mambo meusi akaacha na kubaki na kipaji chake Cha kufyatua watoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye hiyo list yako mtoe hemed PhD ongeza hawa
Karapina
Wakazi
Ney wa mitego
Dudu baya
Ommy dimpoz
Chief maker
Best naso
Snura
Shilole
Naylee
Temba
KR
Diva
Lulu diva
Amber rutty
Mr nice
Babake diamond
Country boy
Babuu wa kitaa
Matonya
PNC
Dogo janja
Bob junior
Bounta anajiita maarifa
Aisee list bado ila nimechoka tu
Daaah country boy ??????? Duuh mpaka mzeee was tokomeza zero piaaa hauko serious bro
 
Hapo kwa Hemed PHD Hapana jamaa anajua sana kuimba labda haujamfatilia vizuri.
 
Back
Top Bottom