'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

We una chuk binafs kwa hao uliowataja yan kwa asilimia kubwa wapo wanaojua weng
Dogo janja..
Aslay
Mboso
Mwana fa
Jux
Nedy music
Billnass
Baraka de Prince
Whozu
Masanja
Baba diamond
Hamisa
Na wengine wengi..ningekuwa DJ kwenye radio station nyimbo zao ningekuwa naziweka kwenye ndoo ya uchafu..

Nyimbo zao nyingi ni za kuanzia SAA 12 asubuhi hadi 12 jioni..zinakuwa zimeshaboaaa..nyimbo zao hazina uhai..hazivutiii..ubunifu zerooo...hazifai hata kucheza high club.
 
Hemed from the groundroot ni mwanamuziki anaweza, shida yake madoido mengi sana mpk anaharibu
 
Duniani tuko watu kibao hauko pekeako, kila msanii ana mashabiki wa aina yake, usiyemuona wewe anajua kuna wenzio wanangoja kweli kweli atoe ngoma. Kama unaona hawajui unaachana nao unasikiliza wanaojua
 
Sijui kwa hao wengine but Hemed ni Mwanamuziki mzuri Sana.Hemedi ameshashiriki TUSKER PROJECT FAME mashindano magumu na yenye hadhi East Africa Mara mbili.Kinachomponza ni maringo na majivuno na kutokua serious na muziki
Alishasema kwenye bongo fleva hapati mademu wakali kama akiwa kwenye bongo movie, ndio maana kuimba hatilii mkazo.
 
Chief japo mie sio msikilizaji mziki mzuri

Rommy jones!! Anafanya km anachokifanya dj khaleed so sioni mbaya!! Hata vibao vyake ni vizuri

Phd, japo mimi si msikilizaji ama mfuatiliaji mzuri ila kwa uchacje niliomsikiliza phd ni muimbaji wa rnb mzuri saana japo mziki hajautolea saana macho..

Kuhusu masanja we muache, kwangu naona anajua sio lazima wote waimbe km diamond na wenzie.. Mziki mzuri ni aidha wenye maneno mazuri au kuleta ladha nzuri masikioni ama yote kwa pamoja.. So masanja anaburudisha, mziki wake unanoga masikioni.

Hao ulioanza nao ndio mziki hawauwezi.
 
Nmeona list ndefu humu za wasanii wa muziki wametajwa kwa interest zetu tu.... Ndg zangu muziki ni sanaa km zilivyo sanaa nyingine km uigizaji, sarakasi nk, muziki una aina tofauti tofauti katika uimbaji wake km vile RnB, Hip Hop, dance, taarab nk(kwa hapa kwetu) hivyo tunapoanza kuwa kosoa wasanii wetu lazima tuangalie makosa ktk aina ya muziki anaouimba msanii husika.... Ni kweli kuna wasanii ambao hawafit kwenye aina yeyote ya muziki lakini ni mapenzi yao kufanya muziki so hatuwezi kumzuia mtu kufanya kitu anachokipenda.... Muhimu hapa ni kwamba km msanii flani humpendi au huelewi muziki wake achana naye wapo wanaopenda na kuelewa kazi zake, japo kukosoa, kupenda au kutokupenda ni haki yetu pia, sikiliza na fuatilia kazi za msanii unayempenda bt usiwakwaze watu wengine kwa mapenzi tu
 
Back
Top Bottom