MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 702
Habari za jpili bandugu, wanajukwaa. Kuna kitu mimi huwa kinanipa shida sana kukubaliana nacho. Tutafakari kwa pamoja suala hili.
Kwa muda mrefu sana wasanii mbalimbali wwamekuwaa music, maigizo ulimbwende n.k wanapenda kujinasibu kuwa wao ni vioo vya jamii, kwa maana hiyo jamii inapaswa kuwaiga mambo yao. Kiukweli kwa mambo ambayo wanayanya hawa wasanii mengi yao ni machafu kabisa. Mifano michache tu, wao ndo wamekuwa vinara wa madawa ya kulevya, ngono, picha chafu za ngono, uvaaji mbovu kabisa ambao watoto wetu wanaiga na mengine kibao. Kwa mtaji huu nashauri wasanii waitwe wachafuzi wa jamii na siyo kioo cha jamii. Kioo cha jamii ni vema aitwe mwalimu kwani sote tunapitia kwa walimu toka chekechea mpk vyuo vikuu.
Nawasilisha