Wasanii wakali zaidi katika storytelling songs

Joined
Jun 30, 2015
Posts
38
Reaction score
14
CHINDOMAN~huyu ndo A town Icon na ni fundi haswaa wa story katika nyimbo zake,story ya nyokaa,tumbonii,na nyimbo zake nyingine nyingi,umbwaa anaweza sana kupangalia story kwenye verse
JCB~ukisikia paah hitmaker ni nguli mwingne mwenye ujuzi wa hali ya juu katika kutoa story through his songs
JAYMOE~huyu ni msanii mkali zaidi asiye na bahati,maisha ya boarding,story3,jua na mvua...na zinginezo ni hatari tupu!!
PROF JAY~nikusaidiaje,msinitenge,chemsha bongo,bongo dar es salaam ni ngoma ambazo prof alionyesha umwamba wake katika storytelling
HUSSEN MACHOZI~promise,kafia geto,nieleze,mizimu ni nyimbo ambazo mtoto huyu wa singida alithibisha ujuzi wake katika storytelling
DULLY SYKES~salome,julieta,hunifahamu,leah ni baadhi ya nyimbo ambazo muanzilishi huyu wa bongofleva alithibisha ugwiji wake katika storytelling!!

Ruksa kuongeza wengine na nyimbo zao
 
AFANDE SELE- Darubini, Kingdom, Heshima, usichukie, Uwanja mpya.
JUMA NATURE(KIBLA)- Mtoto idd, ubin Adam kazi, Mugambo, Ugali, Inaniuma sana, Razia.
 
Tatizo naona mnachanganya habari. Nyimbo nyingine mnazotaja wala sio story telling in nature! Story telling ni kama "stori tatu" wa J moe, "MacMuga" wa Kiba au "nyokaa" na "doggy danger" za Umbwa.
 
daimond platnumz "NIKIFA KESHO" aliimba kwa hisia na aliongea maneno ya kweli nyimbo nzima mr icon
 
Tatizo naona mnachanganya habari. Nyimbo nyingine mnazotaja wala sio story telling in nature! Story telling ni kama "stori tatu" wa J moe, "MacMuga" wa Kiba au "nyokaa" na "doggy danger" za Umbwa.

Mkuu wewe ndio umeongea, nyimbo nyingi zilizotajwa hapo juu sio story. Kwangu mimi story tellers wazuri ni Prof Jay, Jay Moe, Dully Sykes na Mack D ambaye nadhani ni the most underrated MC of all time!
 
solo thang-miss tanzania
 
CHINDO 85% ya nyimbo zake ni storrytelling tuuh!! hata Ali kiba,ferooz,prof j,dully sykes,jmoe
 
Mkuu wewe ndio umeongea, nyimbo nyingi zilizotajwa hapo juu sio story. Kwangu mimi story tellers wazuri ni Prof Jay, Jay Moe, Dully Sykes na Mack D ambaye nadhani ni the most underrated MC of all time!

Mkuu nikumbushe wimbo mmoja (story telling) wa Mac D
 
daimond platnumz "NIKIFA KESHO" aliimba kwa hisia na aliongea maneno ya kweli nyimbo nzima mr icon

Hmm... Labda ule anaoaga kwenda mjini "kutafuta" alioimba na yule dada simkumbuki jina...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…