RIC WA KISHETI
Member
- Jun 30, 2015
- 38
- 14
CHINDOMAN~huyu ndo A town Icon na ni fundi haswaa wa story katika nyimbo zake,story ya nyokaa,tumbonii,na nyimbo zake nyingine nyingi,umbwaa anaweza sana kupangalia story kwenye verse
JCB~ukisikia paah hitmaker ni nguli mwingne mwenye ujuzi wa hali ya juu katika kutoa story through his songs
JAYMOE~huyu ni msanii mkali zaidi asiye na bahati,maisha ya boarding,story3,jua na mvua...na zinginezo ni hatari tupu!!
PROF JAY~nikusaidiaje,msinitenge,chemsha bongo,bongo dar es salaam ni ngoma ambazo prof alionyesha umwamba wake katika storytelling
HUSSEN MACHOZI~promise,kafia geto,nieleze,mizimu ni nyimbo ambazo mtoto huyu wa singida alithibisha ujuzi wake katika storytelling
DULLY SYKES~salome,julieta,hunifahamu,leah ni baadhi ya nyimbo ambazo muanzilishi huyu wa bongofleva alithibisha ugwiji wake katika storytelling!!
Ruksa kuongeza wengine na nyimbo zao