Wasanii wakali zaidi katika storytelling songs

Wasanii wakali zaidi katika storytelling songs

kwa sasa SONGA wa Tamaduni muzik akifuatiwa na NASH MCEE ndo Wanaongoza kwa story telling songz
 
king kiba king anaelelewa na sugar mummy wa uingrereza yeye na familia nzima ya mzee Saleh Kiba ule wimbo wke kimasomaso hatari sana pwilo
 
Nakubali. Nadhani Umbwa anaweza kuwa king wa story telling. Nyimbo zake full kusimulia mikasa ya machalii wa Chuga!

Story ba Nyokaa, kamchizi flani hivi! Unatamani hata kumjua Huyo anayesimuliwa kutokana na jamaa anavyomwelezea
 
King Crayz GK alisahaulika jamani, kuanzia TUTAKUKUMBUKA, SISTER SISTER, SAUTI YA MANKA na nyingine kibao.
 
Professor Jay, Dully Sykes,Jay Moe, Juma Nature na Ferooz......
 
Man dojo 8 domo kaya, lady jay d, mrisho mpoto, jaby...swaiba, kastory,,, Ji~ kidato kimoko, n.k
 
Back
Top Bottom