Wasanii wakali zaidi katika storytelling songs

Wasanii wakali zaidi katika storytelling songs

Mie JayMo tu.
Ile verse ya pili kwenye song la jirushe ni shida
 
storey telling kwa Tanzania bila kumuweka GK.... Dah Nmeshangaaa

mm ninge anza na
1 Jay Mo
2 GK
3 Proffesor J
4 JCB
5 Chindo

ila kwa Wna Hip Hop Wapya
1 P The Mc,
2 Disasta Vina
3 Stereo
4 Songa
5 Nash Mc
 
Back
Top Bottom