Wasanii wakubwa hawana shows msimu huu. Au ndio vyuma vimezid kukaza??

Wasanii wakubwa hawana shows msimu huu. Au ndio vyuma vimezid kukaza??

Ali kiba alikua kwetu Rwanda usiku wa kuamukua Leo amefanya show Kali ya maumivu per day
 
WCB nzima ilikuwa na shows mbali mbali ndani na nje ya tanzania...hao wengine tunawapa pole na kuwatakia kheri ya mwaka mpya pia.
 
yeye ni team WCB ndio maana anajiona ni wenzake.. sawa sawa na mashabiki wa manchester au arsenal wakisema timu yangu.. kocha tumfukuze.. huku hata wanaomfukuza kocha hawajui na wala hawamjui... so mwache afurahi wasanii anaowashabikia wakifanikiwa

Mkuu pia nawe upo WCB au msemaj wao mkuu
 
Darasa is cheap analiga show club za kawaida sana sidhani kama anapata hata zaidi ua 2m
 
Kumbe huu Mziki bila connection za kuwa kwenye peak unaweza kuwehuka kwa stress na mwishoe ndo mana wanaishia kula Ngada!
 
Harmonize kaenda kwao amewajaza kama dagaaaa ..kwanini na wao wasiendi kwao kupiga show .. mondi na kiba na ao wengine waende kwao kigoma
 
Kuna sehemu mwz bar niliona wanasema Hussein Machozi atakuwepo kiingilio ni Bia yako tu,hahah

WAGOSHAAAAA
 
Back
Top Bottom