Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 622
Hatari sana hiiWanapewaga nusu akimaliza kupiga show anamaliziwa pesa yake sijui laki tano wanalipwaga
Hao ni wajinga wanayumbishwa sana na ccmMpka maaskofu wamestuka wenyewe hawaoni??
Mkuu pia nawe upo WCB au msemaj wao mkuuWCB nzima ilikuwa na shows mbali mbali ndani na nje ya tanzania...hao wengine tunawapa pole na kuwatakia kheri ya mwaka mpya pia.
Mkuu pia nawe upo WCB au msemaj wao mkuu
[emoji14] [emoji14] [emoji14]Xmass hii tumemfaidi Tundaman huku kwetu mkuranga kwenye show ya bar kiingilio soda.
Kwel vyuma hatar leo hii tundaman kafikia huko show yake kiingilio soda[emoji15]Xmass hii tumemfaidi Tundaman huku kwetu mkuranga kwenye show ya bar kiingilio soda.