Wasanii walioathiriwa na Diamond

Rich Mavoko does not get his proper dues.
 
Rich Mavoko does not get his proper dues.

Exactly,nikiangalia idadi ya nyimbo kali alizonazo nashangaa kwann watu wanamchukulia kawaida kawaida tu,yaan raia hawampi attention kabisa,atleast hata Barnaba anapewaga japo sifa za mdomoni
 
jamani marlow na bembeleza uuuwiii mimi nilidhania haitakuja tokea wimbo mwingine uwe mtamu vile.

Huu wimbo mimi ni mmojawapo ya watu tuliomshauri sana Marlaw haupeleke radio niliukuta studio Iringa tukasikilizishwa na mdau mmoja wa kuitwa Temi. Moja kati ya vitu navyojivunia kwenye tasnia.
 
Mimi nimemfahamu Diamond kupitia Wema
 
Diamond anavuma ni suala la muda tu!

Hawa kina barnaba amewakuta na atawaacha wapo costant wakati yy akipotea

Hii comment ndo ukumbusho wangu...

Though namtakua mema tu
 
jamani marlow na bembeleza uuuwiii mimi nilidhania haitakuja tokea wimbo mwingine uwe mtamu vile.

Marlow alikuwa yupo vizuri sana kajiaribia alivyoingia ccm tu kuna ule wimbo unaitwa Ritta upo safi sana!
 
Diamond anavuma ni suala la muda tu!

Hii comment ndo ukumbusho wangu...

Though namtakua mema tu

Hell yeah its a matter of time nayeye atapotea kama kina mr nice,ni kipindi chake ku-shine kipindi chake kikiisha atakabidhi vijiti,sio yeye hata sie kitaa huku kipindi chetu ukipita mtaa mzima watu wanaulizana jamaa kapita lkn sasa ukipita hawana habari.
 
Mimi nimemfahamu Diamond kupitia Wema

Parasites wa bongo fleva Tz.

Belle wimbo wake wapili ni masogange,mbona ilikuwa kali tu.Na ametoa ngoma nyingi tu kali baada ya hapo but still raia wanazichukulia kawaida, mfano hizi alizoachia hivi karibun 'Listen' na 'Wanitaka' zote kali

Ujue dogo hata akiamua kuchana Kuna artists wengi tu wamichano watakaa. Maana Jisachi nayo alinata vizuri tu.


«»
Roger Dat.
 

Diamond anajua kufanya timing, tumpe sifa yeye ni msanii ambaye anajua muziki ni biashara, na huwezi ukapiga muziki mzuri then ukaula ukashiba, ni lazima uuze kwa wanaoutaka muziki wako, yeye huwa anajitahidi kutoka wakati game iko wazi, hakuna mrundikano wa nyimbo nyingi zilizotoka.
Hao wanamuziki walioorodheswa hapo wanalingana sana kiuwezo na Diamond, na wengine wamempita uwezo ila Diamond anajua kutengeneza kiki za media kabla ya kuachia ngoma. Kabla ya kutoa Number 1 kulikuwa na mgogoro wa Wema na Penny, baada ya Wema kupiga simu usiku na kupokewa na Penny.
Wakati inatoka Mawazo kulikuwa na mgogoro wa Wema na Jokate, na wakati wa kutoka Number 1 (Remix) Diamond alikuwa na watoto wa Madrasa, pia wakati anatoa Mdogomdogo alikuwa na msaada wa kusomesha watoto. Na mwezi huu au ujao anatoa ngoma mpya, kiki yake ndio hiyo Morano na BMW.
Diamond anajua kuitangaza biashara yake, na inawezekana anaweza kuwa mwanamuziki wa Bongo anayeandikwa zaidi kwa mambo yasiyohusiana na muziki kabisa. Kwenye birthday party yake kulikuwa na bahasha za khaki kwa blog maarufu na magazeti, redio na TV.

OSATA -Othman suka SAid Fela Na TAle Babu ndio wanaoua mziki wa Tanzania

Ni kweli kabisa OSATA ndio wnawanaua muziki, coz msanii akitoka wakati mmoja na msanii aliye chini ya OSATA ni lazima apotezwe, hata kama alikuwa na ngoma kali namna gani. Ndio maana unaona leo hii msanii kama Snura anabamba na kuonekana mkali kwa sababu yuko chini ya OSATA, lakini msanii kama Mo-Music wa Basi Nenda hajabamba kihivyo.
Ova
 
Huu wimbo mimi ni mmojawapo ya watu tuliomshauri sana Marlaw haupeleke radio niliukuta studio Iringa tukasikilizishwa na mdau mmoja wa kuitwa Temi. Moja kati ya vitu navyojivunia kwenye tasnia.

Ruge aliusikia akiwa Morogoro huu Wimbo, moja kwa moja akatafuta mawasiliano yake na kumhamishia Dar. Bembeleza ni bonge la wimbo kwa miaka mingi zaidi. Ni mkono wa Tudd Thomas aliyenyonga ngoma ya Mdogomdogo ya Diamond.
Siasa ndio zilizomuangusha Marlaw, ila jamaa anasauti kama msasa laini unasuguliwa kwenye tikiti maji. Namheshimu sana.
Ova
 
Huu wimbo mimi ni mmojawapo ya watu tuliomshauri sana Marlaw haupeleke radio niliukuta studio Iringa tukasikilizishwa na mdau mmoja wa kuitwa Temi. Moja kati ya vitu navyojivunia kwenye tasnia.

We mdau kama siyo Mtu wa media media Iringa na Nyanda za juu kusini basi ni Msanii au mdau fulan undercover wa hii industry. Na Kuna 45% kuwa nakufaham.
 

Tangu alivyo oaaaa bhass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…