Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani marlow na bembeleza uuuwiii mimi nilidhania haitakuja tokea wimbo mwingine uwe mtamu vile.Hahahaaaa,jamani mimi nilikua namuona mpole!!!!!
Rich Mavoko does not get his proper dues.
Asahaulike tu aliringa mno
jamani marlow na bembeleza uuuwiii mimi nilidhania haitakuja tokea wimbo mwingine uwe mtamu vile.
Unajua toka alivyofanikiwa kummiliki yule demu mwenye mzigo wa haja nyuma (Besta) basi amejiona yuko juu sana.
Linex anaimba kwaya siku hizi wimbo wake mpya ni kama pambio. Na kwenye video ndio katokea kama mwanga.
Mimi nimemfahamu Diamond kupitia WemaCha msingi ni kukaza tu,Diamond ngoma yake aliyoitoa na Mabovu na Ngwair(rip) Jisachi kabla mfuko haujatoboka full msimbazi kama adili wa choka haikukamata mpaka alivyotoa Kamwambie ikabamba hajakaa sawa akatoa Mbagala ikabamba zaidi na jamaa akawa anatumia teqnik ya kutafuta kiki kwenye media ndio akazidi kuchana.
Unajua toka alivyofanikiwa kummiliki yule demu mwenye mzigo wa haja nyuma (Besta) basi amejiona yuko juu sana.
jamani marlow na bembeleza uuuwiii mimi nilidhania haitakuja tokea wimbo mwingine uwe mtamu vile.
Diamond anavuma ni suala la muda tu!
Hii comment ndo ukumbusho wangu...
Though namtakua mema tu
Mimi nimemfahamu Diamond kupitia Wema
Parasites wa bongo fleva Tz.
Belle wimbo wake wapili ni masogange,mbona ilikuwa kali tu.Na ametoa ngoma nyingi tu kali baada ya hapo but still raia wanazichukulia kawaida, mfano hizi alizoachia hivi karibun 'Listen' na 'Wanitaka' zote kali
Ujue dogo hata akiamua kuchana Kuna artists wengi tu wamichano watakaa. Maana Jisachi nayo alinata vizuri tu.
Cha msingi ni kukaza tu,Diamond ngoma yake aliyoitoa na Mabovu na Ngwair(rip) Jisachi kabla mfuko haujatoboka full msimbazi kama adili wa choka haikukamata mpaka alivyotoa Kamwambie ikabamba hajakaa sawa akatoa Mbagala ikabamba zaidi na jamaa akawa anatumia teqnik ya kutafuta kiki kwenye media ndio akazidi kuchana.
OSATA -Othman suka SAid Fela Na TAle Babu ndio wanaoua mziki wa Tanzania
Huu wimbo mimi ni mmojawapo ya watu tuliomshauri sana Marlaw haupeleke radio niliukuta studio Iringa tukasikilizishwa na mdau mmoja wa kuitwa Temi. Moja kati ya vitu navyojivunia kwenye tasnia.
Huu wimbo mimi ni mmojawapo ya watu tuliomshauri sana Marlaw haupeleke radio niliukuta studio Iringa tukasikilizishwa na mdau mmoja wa kuitwa Temi. Moja kati ya vitu navyojivunia kwenye tasnia.
Mwe Marlow had watu wana kusahau aisee, wakati una kitu kikubwa sana.
Intafact Huyu jamaa ndo aliemtoa Tudd Thomas ,producer anaetamba saiv kwa vibao vikali vinavyotoboa ktk anga la international market. Lakin yeye Marlow mwenyewe pamoja na kuwa ana uwezo mkubwa sana yupo yupo tu.
Mimi nimemfahamu Diamond kupitia Wema