Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Hakuna msanii aliyefanya kazi nyingi za CCM kama Marlaw na Bushoke (mtoto) ambao walitunga wimbo kabisa wa kusifia CCM na wote wakapotea. Diamond alitumbuiza tu, tena sio kwa matukio mengi kama ilivyokuwa kwa wasanii wengine wengi.
Usipotoshe mkuu kama huna taarifa za kutosha unanyamaza kuficha umbumbumbu wako,,Diamond alibadili ile nyimbo ya mbagala ikawa na version ya CCM,Chege na Temba walibadili nyimbo kibao moja wapo ni ile Dar mpaka Moro kuna version ya CCM,mbona hawajashuka?