Wasanii waliofulia baada ya kujitoa kwa Babu Tale

ni baada ya kuacha upunda maana hyu alisha wekwa mpaka bondi uko pakistan yeye na mshkaji wake dalasi wa wolper.
Acha maneno ya kijiweni wewe,suma lee hajawahi kanyaga pakistani
 
Hapo kwa Kassim Mganga umechemka, naona kama kapiga hatua zaidi
 
Acha maneno ya kijiweni wewe,suma lee hajawahi kanyaga pakistani
unataka nikwambie na aliyekuwa anamtuma?hakuna mtu kaaribu wasanii kama shikuba...kma unafahamiana na suma muulize yule jamaake alokatwa vidole baada ya wao kuwekwa bondi na tajiri wao kichwelewesha malipo
 
Mbona PNC hujamweka huyo ndo kachoka kabisa, Kuhusu Kassim naweza sema ndo msanii pekee anayefanya vizuri kwenye game baada ya kutoka Tiptop.
 
wabunge gani mbona upo outdate sana
ok funguka kidogo mkuu coz nilikua nje kidogo ya Tanzania but last year kabla sijaondoka alishinda ubunge vitu maalum.. labda uwe umetengulia kama wa irene uwoya..
 
Ndo maana kikwete alisema, ukitaka kula sharti uliwe,

Sasa hawataki kuliwa, ndo inakula kwao ss πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
Haa haa haas haa nmecheka sana
 
mb dog kaingiaje hapo wakati alishajitoa Tip top kabla hata tale hajawa na jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…