PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Apr 19, 2016 #41 asrams said: Mkuu Suma Lee aliamua kuacha mziki ( Alhamdulilah amekua mtu dini ) hakufulia! Click to expand... Huo ushehe ndio atafulia kabisa kabisa. Mwisho wake Ni kuvaa kanzu mbovu na kufuatilia minuso ya uswazi.
asrams said: Mkuu Suma Lee aliamua kuacha mziki ( Alhamdulilah amekua mtu dini ) hakufulia! Click to expand... Huo ushehe ndio atafulia kabisa kabisa. Mwisho wake Ni kuvaa kanzu mbovu na kufuatilia minuso ya uswazi.
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Apr 19, 2016 #42 Kassim Mganga hajafulia aisee, he is good
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,652 Apr 19, 2016 #43 PAGAN said: Huo ushehe ndio atafulia kabisa kabisa. Mwisho wake Ni kuvaa kanzu mbovu na kufuatilia minuso ya uswazi. Click to expand... Naam mkuu kwa Jina lako lilivyo ungetoa jibu jingine zaidi ya hilo ulotoa ningeshangaa
PAGAN said: Huo ushehe ndio atafulia kabisa kabisa. Mwisho wake Ni kuvaa kanzu mbovu na kufuatilia minuso ya uswazi. Click to expand... Naam mkuu kwa Jina lako lilivyo ungetoa jibu jingine zaidi ya hilo ulotoa ningeshangaa
afande kifimbo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 6,303 Reaction score 2,716 Apr 20, 2016 #44 Hawakutaka kusimamiwa labda wlitkaa waende bila management